Ushuhuda wa Kweli | Jaribu la Uzao wa Moabu (Swahili Subtitles)

21/10/2020

Katika kazi ya hukumu ya Mwenyezi Mungu ya siku za mwisho, Yeye huwajaribu, huwasafisha, huwatakasa na kuwabadilisha watu kupitia maneno Yake. Kati ya mwaka wa 1991 na 1997, watu wateule wa Mungu walipitia majaribu ya watendaji huduma, majaribu ya kifo, kipindi cha kumpenda Mungu, majaribu ya foili, majaribu ya uzao wa Moabu na majaribu ya wana wa joka kubwa jekundu. Katika majaribu haya yote, Mwenyezi Mungu alionyesha ukweli wa kuwafunua, kuwahukumu, kuwaruzuku na kuwaongoza wateule Wake kulingana na mawazo yao kuhusu kazi ya Mungu na upotovu walioufunua. Baada ya kupitia haya yote, motisha za wateule wa Mungu za kuamini zilirekebishwa kwa kiasi fulani na imani yao ikawa safi zaidi. Tabia zao potovu pia zilitakaswa kwa kiasi fulani; wote walihisi jinsi kazi ya Mungu ya kuwatakasa na kuwaokoa wanadamu ilivyo ya vitendo. Waliandika kwa kirefu matukio yao ya binafsi na yale waliyoyapata ili kushuhudia upendo na wokovu wa Mungu. Mkristo aliye katika video hii anasimulia jinsi alivyopitia majaribu ya uzao wa Moabu, kile alichopata kutokana nayo, na jinsi kilivyombadilisha.

Tazama zaidi

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Shiriki

Ghairi

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp