Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.

Swahili Gospel Video "Kanisa la Nafsi Tatu ni Mwavuli Wangu"

Mfululizo wa Filamu za Injili   704  

Utambulisho

Wakati mmoja, serikali ya Kikomunisti ya Uchina iliwakamata Wakristo wengi wa Kanisa la Mwenyezi Mungu kutoka mahali fulani usiku wa manane. Jambo hili lilisababisha ghasia kubwa mahali hapo. Lilichochea majadiliano miongoni mwa washirika wa Kanisa la Nafsi Tatu. Watu wengine waliamini kwamba Umeme wa Mashariki umepitia ukandamizaji na mateso ya kikatili ya serikali ya kikomunisti ya Uchina. Ni hatari sana kuamini katika Umeme wa Mashariki, na ni salama sana kuamini katika Kanisa la Nafsi Tatu. Hawatapitia taabu na wataweza kuingia katika ufalme wa mbinguni. Watu wengine waliamini kwamba Umeme wa Mashariki ndiyo njia ya kweli hasa, lakini mateso na kukamatwa ambayo wanapitia ni makali mno. Kama wangetakiwa kuamini, walifikiri kwamba ni heri kuamini kisiri. Mara serikali ya Kikomunisti ya Uchina ikianguka, wanaweza kuamini kaitka Mwenyezi Mungu waziwazi. Watu wengine walikuwa wemachunguza Umeme wa Mashariki lakini, waliamini kwamba Umeme wa Mashariki unaeneza injili na unashuhudia kwa Bwana bila kujali maisha au kifo na kwamba wanasifiwa na Mungu. Walidhani kwamba watu ambao hujificha ndani ya Kanisa la Nafsi Tatu ni watu waoga ambao wanafuata mkondo maishani bila kusudi na kwamba hawastahili kuingia katika ufalme wa mbinguni. … Baada ya majadiliano haya makali, je, kila mtu aliweza kujua ni aina gani ya watu wanasifiwa na Bwana na kama waoga wanaweza kuingia katika ufalme wa mbinguni?

Pakua Programu Bila Malipo

Video za Ajabu Zakuongoza Kuielewa Kazi ya Mungu

Pakua Programu Bila Malipo

Video za Ajabu Zakuongoza Kuielewa Kazi ya Mungu