Filamu za Kikristo | Mafumbo ya Biblia Hatimaye Yamefichuliwa (Dondoo Teule)
19/07/2018
Waumini wengi hufikiri kuwa maneno na kazi zote za Mungu yamo ndani ya Biblia, kwamba wokovu wa Mungu katika Biblia ni mkamilifu na mradi watu waweke msingi wa imani yao katika Bwana katika Bibilia na washikilie Bibilia, basi wanaweza kunyakuliwa na wanaweza kuingia katika ufalme wa mbinguni. Je, kweli ukweli uko namna hii? Je, ni Mungu ambaye anaweza kutuokoa, au Biblia? Je, ni Mungu ambaye anaweza kuonyesha ukweli, au Biblia? Ili kujifunza zaidi, tafadhali angalia video hii!
Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?
Aina Nyingine za Video
Usomaji wa Maneno ya Mwenyezi Mungu
Maneno ya Mungu ya Kila Siku
Filamu za Injili
Ushuhuda wa Maisha ya Kanisa
Filamu za Ushuhuda wa Matukio ya Maisha
Filamu za Mateso ya Kidini
Mfululizo wa Video za Kwaya
Maisha ya Kanisa—Mfululizo wa Maonyesho Mbalimbali
Video za Muziki
Video za Nyimbo za Dini
Kufichua Ukweli
Dondoo Maalum za Filamu