Dondoo ya Filamu ya Kikristo ya 3 Kutoka “Kuamka Kutoka kwa Ndoto”: Mungu Hutumia Ukweli Kuhukumu na Kutakasa Mwanadamu katika Siku za Mwisho

09/08/2018

Katika Siku za Mwisho, Mungu anapata mwili ili kufanya kazi ya hukumu duniani kuanzia kwa nyumba ya Mungu, hivyo, kazi ya Mungu ya hukumu katika siku za mwisho inamtakasaje na kumwokoa mwanadamu? Ni mabadiliko gani yataletwa kwa tabia yetu ya maisha baada ya kushuhudia hukumu na kuadibu kwa Mwenyezi Mungu? Filamu hii ya Kuamka Kutoka kwa Ndoto, itakupa majibu yote!

Tazama zaidi

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Shiriki

Ghairi