158 Ni Nani Anayeufikiria Moyo wa Mungu?

1

Dunia iko gizani, mapepo ni wakali sana.

Mungu ameonekana, Akafanya kazi, Akistahimili ufuatiliaji na lawama.

Mungu huonyesha ukweli, lakini Anakataliwa na enzi.

Hana mto wa kupumzika, amepitia aibu kubwa.

Nguvu za adui za dini zamhukumu, zamkashifu.

Taabu za Yesu zatokea tena leo.

Bila kumjua Mungu, wanamsulibisha tena.

Ni wakatili, waovu sana, wabaya kuliko siku za Yesu.

Mungu Anafanya kazi kubwa, lakini hakuna anayeweza kumwelewa.

Moyo wa Mungu unasikitika sana, ni nani anayeweza kuufikiria moyo Wake?

Binadamu ni waasi sana; maafa yatakuja.

Maneno yote ya Mungu yatatimizwa, Shetani ataondolewa.

2

Ingawa waumini ni wengi, wale wanaomjua Mungu ni wachache.

Tunaenda kila mahali, lakini kutoa ushahidi ni kugumu.

Kushuhudia kuonekana kwa Mungu huleta shida.

Kufukuzwa kutoka nyumbani kwa watu; kwa visu, rungu watufukuza.

Machozi hujaa machoni mwetu, mioyo yetu husikitika kwa ajili ya huzuni.

Njia ya msalaba ni ngumu, damu yachanganyika na machozi.

Sanamu ni nyingi, na wafanyakazi waovu huumiza wengine.

Wanajulikana kumwamini Mungu, lakini wanafuata wachungaji waongo.

Mungu Anafanya kazi kubwa, lakini hakuna anayeweza kumwelewa.

Moyo wa Mungu unasikitika sana, ni nani anayeweza kuufikiria moyo Wake?

Binadamu ni waasi sana; maafa yatakuja.

Maneno ya Mungu yote yatatimizwa, Shetani ataondolewa.

3

Hivyo wako wapi wampendao Mungu? Wako wapi watafutaji?

Mungu anaita, Abisha mlangoni, lakini mlango umefungwa.

Mungu ametoa damu, jasho, machozi Yake kumwokoa mwanadamu.

Amekuwa akifanya kazi kwa miaka, Akieneza upendo kwa binadamu.

Mungu Anafanya kazi kubwa, lakini hakuna anayeweza kumwelewa.

Moyo wa Mungu unasikitika sana, ni nani anayeweza kuufikiria moyo Wake?

Binadamu ni waasi sana; maafa yatakuja.

Maneno ya Mungu yote yatatimizwa, Shetani ataondolewa.

Iliyotangulia: 157 Kuna Kundi Kama Hili la Watu

Inayofuata: 161 Maneno Katika Mioyo ya Wakristo

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

418 Umuhumi wa Maombi

Sala ni mojawapo ya njia ambazo mwanadamu hutumia kushirikiana na Mungu, ni njia ambayo mwanadamu hutumia kumwita Mungu, na ni mchakato...

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp