49 Dunia Yote Itashangalia na Kumsifu Mungu

Mungu mmoja wa kweli anayetawala juu ya ulimwengu na vitu vyote—Mwenyezi Mungu, Kristo wa siku za mwisho! Huu ndio ushuhuda wa Roho Mtakatifu, ni ushahidi dhahiri! Roho Mtakatifu anafanya kazi kuwa na ushuhuda kila mahali, ili kusiwe na mtu yeyote mwenye shaka yoyote. Mfalme wa ushindi, Mwenyezi Mungu! Yeye ameushinda ulimwengu, Ameishinda dhambi na kufanikisha ukombozi! Anatuokoa, kundi hili la watu ambao wamepotoshwa na Shetani, na Anatukamilisha kufanya mapenzi Yake. Anatawala dunia nzima, Anaichukua tena na kumfukuza Shetani hadi ndani ya shimo lisilo na mwisho. Anauhukumu ulimwengu, na hakuna mtu anayeweza kukwepa kutoka mikononi Mwake. Anatawala kama Mfalme. Dunia nzima inafurahia! Inamtukuza Mfalme mshindi—Mwenyezi Mungu! Milele na milele! Unastahili heshima na sifa. Mamlaka na utukufu viwe kwa Mfalme mkuu wa ulimwengu!

Umetoholewa kutoka katika “Sura ya 27” ya Matamko ya Kristo Mwanzoni katika Neno Laonekana katika Mwili

Iliyotangulia: 48 Ulimwengu Mzima ni Mpya Kabisa

Inayofuata: 50 Jina la Mwenyezi Mungu Lashuhudiwa katika Mataifa Yote ya Dunia

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp