41 Dunia Inaanguka, Ufalme Unapata Umbo

1 Dunia inavunjika kila siku. Watu wanaangamia kila siku. Ufalme Wangu unapata umbo kila siku. Wana Wangu wazaliwa wa kwanza wanakua kila siku. Hasira Yangu inakua kila siku, kuadibu Kwangu kunakuwa kubaya zaidi kwa siku, na neno Langu linazidi kuwa kali kwa siku. Bado mnasubiri lugha Yangu juu yenu iwe yenye huruma, sauti Yangu iwe yenye ucheshi, fikiria tena! Inategemea ni nani Ninayemshughulikia. Kwa wale Niwapendao, sauti Yangu ni ya upole, daima inayofariji. Kwenu, Naweza tu kuwa mkali na mwenye hukumu, na kuongeza juu ya hayo kuadibu na hasira.

2 Bila kujua, hali katika kila nchi ya dunia inazidi kuwa ya fadhaa, kila siku zikivunjika, kila siku zikipata machafuko. Viongozi wa kila nchi wanatumai kushinda mamlaka mwishoni. Hawatarajii hili, lakini kuadibu Kwangu tayari iko juu yao. Wanajaribu sana kushika mamlaka Yangu, lakini wanaota tu! Ni Mimi pekee Ninayestahili kutawala juu ya vitu vyote. Kila kitu kinanitegemea Mimi. Yote yananitegemea, bila kutaja wageni wachache. Nitawapiga mara moja wale wanaonichunguza kwa makini kwa sababu kazi Yangu tayari imefika hapa. Kila siku kuna ufunuo mpya, kila siku kuna mwanga mpya. Yote yanazidi kuwa kamili. Siku ya mwisho ya Shetani inakaribia zaidi na zaidi na kuzidi kuwa wazi zaidi kuliko hapo awali.

Umetoholewa kutoka katika “Sura ya 82” ya Matamko ya Kristo Mwanzoni katika Neno Laonekana katika Mwili

Iliyotangulia: 40 Dunia Yaanguka! Babeli Unafadhaika!

Inayofuata: 42 Muda Upotezwao Hautawahi Kuja Tena

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp