86 Ni Mungu Mwenyezi Anipendaye

Ni Mwenyezi Mungu anipendaye na kuniinua mbele ya kiti Chake.

Ninapohudhuria karamu ya harusi ya Mwanakondoo, kwa raha nafurahia maneno Yake.

Kuuona uso upendezao wa Mungu kunanifurahisha sana.

Ni kitu kizuri mno kukaribisha kurudi kwa Mwokozi.

Eh! Mungu ananipenda! Hukumu ya Mungu hunitakasa.

Ah! Mungu ananipenda! Neno la Mungu limenishinda.

Ah! Mungu ananipenda! Ukweli Wake umeniweka huru!

Ah! Mungu ananipenda! Ni Mwenyezi Mungu anipendaye.

Ni Mwenyezi Mungu anipendaye, neno Lake hunitakasa na kunibadilisha.

Kila neno ambalo Mungu husema, huingia ndani kabisa ya moyo wangu.

Nakubali hukumu ya neno Lake na kuchukia kwamba nimepotoshwa sana.

Nafurahia kutenda ukweli na kutenda kwa uaminifu kamili.

Ah! Mungu ananipenda! Hukumu ya Mungu hunitakasa.

Ah! Mungu ananipenda! Nakubali baraka na shida.

Ah! Mungu ananipenda! Upendo wa Mungu umechukua moyo wangu.

Ah! Mungu ananipenda! Ni Mwenyezi Mungu anipendaye.

Ni Mwenyezi Mungu anipendaye, maneno Yake hunielekeza kila wakati.

Neno la Mungu ni ukweli, limekuwa maisha yangu.

Mungu ananielekeza bila kujali, bila kujali njia inavyozidi kuwa ngumu.

Sitarudi nyuma tena, lakini nitamfuata Mungu kwa uthabiti.

Ah! Mungu ananipenda! Hukumu ya Mungu hunitakasa.

Ah! Mungu ananipenda! Natimiza wajibu wangu ili moyo wa Mungu upendezwe.

Ah! Mungu ananipenda! Nitatafuta kumpenda Mungu maisha yangu yote.

Ah! Mungu ananipenda! Ni Mwenyezi Mungu anipendaye.

Kwa uaminifu wote, nampa Mungu moyo wangu wote, na natii ukuu Wake.

Kufanya mapenzi ya Mungu, kushuhudia kazi Yake, ni wajibu wetu wa maisha.

Ah! Mungu ananipenda! Ah! Mungu ananipenda! Kuishi kwa kudhihirisha ukweli humfurahisha.

Ah! Mungu ananipenda! Ah! Mungu ananipenda! Ni Mwenyezi Mungu anipendaye.

Iliyotangulia: 85 Njia Yote Pamoja na Wewe

Inayofuata: 87 Upendo wa Mungu Unasambaa Duniani

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

418 Umuhumi wa Maombi

Sala ni mojawapo ya njia ambazo mwanadamu hutumia kushirikiana na Mungu, ni njia ambayo mwanadamu hutumia kumwita Mungu, na ni mchakato...

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp