27 Ni Mwenyezi Mungu Anayetuokoa

1

Ni nani aonyeshaye ukweli ili kuwaokoa wanadamu?

Ni nani anayetoa hukumu akiwa amekaa juu ya kiti cheupe?

Ni Mwenyezi Mungu aliyekuja katika mwili katika siku za mwisho.

Anatamka maneno ili kubisha kwenye mlango wa binadamu.

Anatuongoza mbali na ulimwengu,

na anatuokoa kutokana na upotovu wa Shetani.

Kwa kuelewa ukweli, tunatakaswa na tunaishi katika nuru.

Pamoja na Mungu kando yetu, pamoja na Mungu, maisha yetu ni ya furaha kweli.

Ni nani anayetupa ukweli na uzima?

Ni nani anayeleta mwanga kwa ulimwengu?

Ni mpendwa Mwenyezi Mungu, mpendwa Mwenyezi Mungu.

Ananena na kufanya kazi kati yetu kila siku.

Anatuchunga na kutunyunyizia ana kwa ana.

Tuna bahati sana kupitia upendo Wake wa kweli.

Imani yetu ya kumfuata Mungu imeongezeka mara mia moja.

Tunatimiza wajibu wetu, kumshuhudia Mungu na kumtukuza Mungu.

2

Ni maneno ya nani yanayoichoma mioyo yetu kama upanga mkali?

Upendo wa nani kwa mwanadamu ndio safi zaidi, mzuri zaidi?

Ni Mwenyezi Mungu ambaye amepata mwili katika siku za mwisho.

Maneno Yake yanafichua kiini na chanzo cha upotovu wa wanadamu.

Tunapitia hukumu na majaribu ya maneno ya Mungu.

Tunaona kuwa tabia ya Mungu ni yenye haki na takatifu.

Ni wakati tu upotovu wetu utanapotakaswa ndipo tuna mfano wa kibinadamu.

Tunapitia upendo wa Mungu na kumsifu kwa mioyo ya kweli.

Ni nani anayetakasa na kuwaokoa wanadamu waliopotoka?

Ni nani anayeleta hatima nzuri kwa wanadamu?

Ni Mwenyezi Mungu, ambaye kazi Yake ni yenye busara na yenye nguvu zote.

Anamshinda Shetani, kuwakamilisha watu Wake na kupata utukufu.

Tuna bahati nzuri sana kupata wokovu!

Ni jambo la ajabu sana kushuhudia maneno makuu ya Mungu!

Tunaieneza injili ya ufalme kwa imani thabiti.

Tunatimiza wajibu wetu, kumshuhudia Mungu na kumtukuza Mungu.

Iliyotangulia: 26 Imba Sifa za Mwenyezi Mungu

Inayofuata: 28 Tunakusanyika kwa Furaha Kumsifu Mungu

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

418 Umuhumi wa Maombi

Sala ni mojawapo ya njia ambazo mwanadamu hutumia kushirikiana na Mungu, ni njia ambayo mwanadamu hutumia kumwita Mungu, na ni mchakato...

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp