Programu ya Kanisa la Mwenyezi Mungu

Sikiliza sauti ya Mungu na ukaribishe kurudi kwa Bwana Yesu!

Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.

Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

(Ma)tokeo ya Kutafuta 0

Hakuna matokeo yaliyopatikana

224. Mungu Amekuwa Akijishughulisha Kumuongoza Mwanadamu Daima

I

Tangu Mungu alipoanza usimamizi Wake, amekuwa akijitolea kwa kazi Yake.

Daima akiwa karibu ya wanadamu, japo akijifichika, akiwaongoza kwa kiini Chake.

Mungu amekuwa akiwashughulikia wote kwa uwezo, kwa hekima na mamlaka,

akionyesha tabia Yake, na Akaleta Enzi za Sheria, Neema, na Ufalme.

Japo nafsi Yake ikifichika, tabia Yake na mapenzi Yake,

kile Anacho na kile Alicho vinaonyeshwa, hivyo wanadamu wanaweza kuona na kuhisi.

Kiini cha Mungu na tabia kweli ni maonyesho Yake.

Kiini cha Mungu na tabia kweli ni maonyesho Yake.

II

Bila kujali jinsi Yeye hufanya kazi, Mungu humtendea mtu kulingana na yule Aliye,

akisema kile Anachopaswa kusema, akifanya kile Alichokusudiwa kufanya.

Namna yoyote anavyoongea, katika mwili, kutoka mbinguni au kama mtu,

Yeye hunena kwa moyo Wake na kwa mawazo, hakuna maficho au udanganyifu.

Mungu anapofanya kazi, Yeye huonyesha maneno Yake, tabia na kile Anacho na Alicho.

Yeye hashikilii shaka.

Japo nafsi Yake ikifichika, tabia Yake na mapenzi Yake,

kile Anacho na kile Alicho vinaonyeshwa, hivyo wanadamu wanaweza kuona na kuhisi.

Kiini cha Mungu na tabia kweli ni maonyesho Yake.

Kiini cha Mungu na tabia kweli ni maonyesho Yake.

Kiini cha Mungu na tabia kweli ni maonyesho Yake.

Kiini cha Mungu na tabia kweli ni maonyesho Yake.

III

Mungu huwaongoza wanadamu kwa uhai Wake, kwa nafsi Yake na miliki Yake.

Kiini cha Mungu na tabia kweli ni maonyesho Yake.

Kiini cha Mungu na tabia kweli ni maonyesho Yake.

Kiini cha Mungu na tabia kweli ni maonyesho Yake.

Kiini cha Mungu na tabia kweli ni maonyesho Yake. Naam.

kutoka kwa "Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe I" katika Neno Laonekana katika Mwili

Iliyotangulia:Mungu Anautaka Moyo wa Kweli wa Mwanadamu

Inayofuata:Maonyesho ya Petro ya Upendo kwa Mungu

Maudhui Yanayohusiana