216 Ee Mungu, Siwezi Kukuacha

1

Bila neno la Mungu kuniongoza, sina nanga, kama gugumaji lielealo.

Bila Mungu kando yangu, nahisi uchungu na utupu.

Nikijitafakari, nagundua kuwa sina nafasi ya Mungu moyoni mwangu,

na ninamdanganya Mungu katika maombi yangu.

Kwa kuacha ukweli, kutamani umaarufu na utajiri, nachukiwa na kukirihiwa na Mungu.

Nikianguka gizani, niko katika maumivu makubwa, na moyo wangu umejaa majuto.

Maneno yanayosihi hayawezi kumrudisha Mungu kwangu.

Bila moyo wa uchaji, sistahili kuishi mbele ya Mungu.

Ninahesabu wema wa Mungu na kujitafakari na kujisikia mdeni sana kwa Mungu.

2

Kupitia hukumu, naona wazi ukweli wa upotovu wangu.

Mwenye kiburi, majivuno, mwovu na mdanganyifu, hata nilifanya mabadilishano na Mungu.

Nilikuwa hobelahobela katika wajibu wangu na sikuyafikiria mapenzi ya Mungu.

Kwa kushikilia maoni yangu, janga liliibuka.

Baada ya kupitia usafishaji mwingi, niligundua kuwa tabia ya Mungu yenye haki haikubali kosa lolote.

Moyo wangu unamcha, najichukia na ninatubu kweli.

Naona kwamba hukumu ya Mungu yote ni upendo na wokovu.

Naweka azimio langu kutenda ukweli na kufanya wajibu wangu ili kumlipa Yeye.

Nitampenda Mungu kwa kweli, ili nipate tena huruma Yake na kumwita Arudi kwangu tena.

Iliyotangulia: 215 Sifa kwa Mungu Kutoka kwa Kizazi cha Moabu

Inayofuata: 217 Ninajuta Sana

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

418 Umuhumi wa Maombi

Sala ni mojawapo ya njia ambazo mwanadamu hutumia kushirikiana na Mungu, ni njia ambayo mwanadamu hutumia kumwita Mungu, na ni mchakato...

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp