Programu ya Kanisa la Mwenyezi Mungu

Sikiliza sauti ya Mungu na ukaribishe kurudi kwa Bwana Yesu!

Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.

Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

(Ma)tokeo ya Kutafuta 0

Hakuna matokeo yaliyopatikana

183 Moyo wa Mungu Haujaliwazwa Bado

1

Baada ya kuonja uchungu kamili wa kupotoshwa kwa mwili, ninamchukia na kumkirihi Shetani hata zaidi.

Maneno ya Mungu yananifunua na kunihukumu vikali, sasa ninaona wazi ukweli wa upotovu wangu mwenyewe.

Kwa kukubali hukumu na usafishaji wa Mungu napata utakaso,

na ni hapo tu ndipo najua kwamba wanadamu lazima afuatilie ukweli katika maisha yao.

Ninaona kwamba kazi ya Mungu ya kumwokoa mwanadamu si rahisi.

Kwa dhamiri na mantiki, ninapaswa kumtii Mungu.

Mungu huumia sana kwa ajili ya mwanadamu, hata leo bado Hajapata upendo wake.

Nahisi hatia na kujikaripia moyoni mwangu; nisipoulipa upendo wa Mungu, basi mimi sistahili kuitwa mwanadamu.

Mungu anasubiri mwanadamu atubu. Siwezi tena kushusha hali na kuishi maisha matupu.

Sijapata ukweli au kuishi kwa kudhihirisha mfano wa mwanadamu, hivyo nawezaje kukata tamaa kwa urahisi?

2

Kazi ya Mungu itafika mwisho, sijakuwa bado na mabadiliko mengi katika tabia yangu.

Bila uhalisi wa ukweli, niwezaje kusimama imara?

Ninawezaje kuyatuliza mawazo ya Mungu na kupata uaminifu Wake?

Sijakaribia kile ambacho Mungu anahitaji, nawezaje kumridhisha Mungu ikiwa sitendi kweli?

Moyo wa Mungu haujaliwazwa, ninapaswa kumuishia Mungu ili kulipa fadhila Yake.

Ili kuuridhisha moyo wa Mungu, niko radhi kuteseka machungu yoyote.

Na nikimwangusha Mungu, nitajuta maisha yangu yote na nitakuwa na aibu sana kukutana na Yeye.

Kama mwanadamu, ni lazima nichukue msimamo na nisimfadhaishe Mungu tena.

Natamani kila mara kuigeukia haki, kumpenda na kujitolea milele kwa Mungu,

na nikiwa na ukweli tu ndiyo nastahili kuitwa mwanadamu.

Iliyotangulia:Ni Bahati Yetu Nzuri Kumhudumia Mungu

Inayofuata:Kufanya Upya Kiapo Changu cha Kumpenda Mungu

Maudhui Yanayohusiana

 • Mradi tu Usimwache Mungu

  Upendo na huruma za Mungu hupenyeza katika kila sehemu ya kazi ya usimamizi Wake, na bila kujali kama watu wanaweza kuelewa nia njema za Mungu, bado …

 • Upendo Safi Bila Dosari

  1 Upendo ni hisia safi sana, safi bila dosari. Tumia moyo wako, tumia moyo wako kupenda na kuhisi na kutunza. Upendo hauweki masharti au vizuizi au ba…

 • Kwa Kuwa Mungu Anamwokoa Mwanadamu, Atamwokoa Kabisa

  1 Kwa kuwa Mungu alimwokoa mwanadamu, Atamwongoza; kwa kuwa Anamwokoa mwanadamu, Atamwokoa na kumpata kabisa; kwa kuwa anamwongoza mwanadamu, Atamfiki…

 • Toa Akili na Mwili ili Kutimiza Agizo la Mungu

  I Kama washiriki wa jamii ya wanadamu, kama wafuasi wa Kristo wa dhati, ni wajibu wetu, jukumu letu kutoa akili zetu na miili yetu kwa kutimiza agizo …