23 Maneno ya Mungu Yafanya Miujiza

Umekuwa mwili ili kutembea kati ya wanadamu,

Umetuletea njia ya uzima wa milele.

Ee Mungu, maneno Yako yote ni ukweli,

yanatuongoza kwenye njia sahihi maishani.

Maneno Yako yote yana mamlaka,

yanahukumu, kutakasa tabia yetu ya kishetani.

Upendo Wako umekita mizizi mioyoni mwetu,

tunaimba nyimbo mpya, kutukuza wokovu Wako.

Ukuaji wetu hauwezi kutengwa

kutoka kwa unyunyizaji wa maneno Yako.

Umepata nafsi zetu, na sisi tunakuimbia.

Mioyo yetu yote imejawa na upendo na maneno Yako.

Mwenyezi Mungu, tunakusifu daima.

Kila shahidi asema juu ya hekima, nguvu Yako.

Maneno Yako yatimiza kila kitu,

ulimwengu wote unaangaza maisha.

Maneno Yako yaunda maajabu ya maisha,

nani asingelieneza, kulitukuza jina Lako?

Ulimwengu wote wakusifu,

sauti za sifa hazitalemazwa kamwe.

Haki Yako iko juu ya mbingu.

enzi ya uovu yachomwa kwa ghadhabu Yako.

Maneno Yako yafunua uweza Wako,

yakifanya vitu vyote viwe vipya mbinguni, duniani.

Umepata utukufu kabisa,

kumshinda Shetani, maadui wote.

Watu Wako wote waja mbele ya kiti Chako,

wafurahia wingi Wako, wasifu matendo Yako.

Ukuaji wetu hauwezi kutengwa

kutoka kwa unyunyizaji wa maneno Yako.

Umepata nafsi zetu, na sisi tunakuimbia.

Mioyo yetu yote imejawa na upendo na maneno Yako.

Mwenyezi Mungu, tunakusifu daima.

Kila shahidi asema juu ya hekima, nguvu Yako.

Maneno Yako yatimiza kila kitu,

ulimwengu wote unaangaza maisha.

Maneno Yako yaunda maajabu ya maisha,

nani asingelieneza, kulitukuza jina Lako?

Ulimwengu wote wakusifu,

sauti za sifa hazitalemazwa kamwe.

Iliyotangulia: 22 Ni Vizuri Sana Kwamba Mwenyezi Mungu Amekuja

Inayofuata: 24 Ee Mwenyezi Mungu, Wewe ni Mtukufu Sana

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

418 Umuhumi wa Maombi

Sala ni mojawapo ya njia ambazo mwanadamu hutumia kushirikiana na Mungu, ni njia ambayo mwanadamu hutumia kumwita Mungu, na ni mchakato...

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp