280 Wewe ni Maisha Yangu ya Kweli

1

Kwa uso dhaifu na nywele zilizofungamana, nilikuwa mpweke na mwenye huzuni.

Nikisimama mbele Yako na bado mbali sana, kwa sababu tulikuwa wageni.

Hadhi ni dhahiri kupitia uso Wako wa fadhila.

Moyo Wako ni mzuri na wa upole sana. Maneno hayawezi kueleza kutofika mwisho Kwako.

Yote hayawezi kusema hadithi yote ya matendo Yako.

Katika usiku baridi, nafurahia joto Lako.

Nikiwa nimefufuka, nimekaribisha maisha mapya;

maisha yangu yamejaa nguvu, maisha yangu yamejaa nguvu.

2

Umenipa pumzi ya uzima.

Maneno Yako yamenifanya nihisi nimejazwa sana.

Moyo wangu unajawa na shukrani ya dhati. Ulifanya upya utu wangu wote.

Yote yaliyo Yako ni ya thamani kwangu. Hakuna hazina inayoweza kuwa badala yake,

hakuna mlima wala umbali unaoweza kunifanya niache.

Hii ni siri katika moyo wangu.

Katika usiku baridi, nafurahia joto Lako.

Nikiwa nimefufuka, nimekaribisha maisha mapya;

maisha yangu yamejaa nguvu, maisha yangu yamejaa nguvu.

3

Kupitia miaka ya kuwasiliana, nimetambua thamani Yako.

Kati ya vitu vyote vya dunia hakuna kinachoweza kufananisha. Wewe, wa pekee wa binadamu.

Katika usiku baridi, nafurahia joto Lako.

Nikiwa nimefufuka, nimekaribisha maisha mapya;

maisha yangu yamejaa nguvu, maisha yangu yamejaa nguvu.

Iliyotangulia: 279 Niliumbwa na Wewe, Mimi ni Wako

Inayofuata: 281 Wakati

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp