Maswali Yanayoulizwa Mara Nyingi

Makala 10

Kwa Nini Umeme wa Mashariki Unaenda Mbele Kwa Mwendo Usioweza Kukomeshwa

Mbona, ingawa umekabiliwa na upinzani na mateso yenye hasira kutoka sehemu mbili za nguvu za Shetani—serikali ya CCP na dunia ya dini—Umeme wa Mashariki haujakosa kuvunjwa au kuchoshwa tu, lakini kinyume chake umeendelea kusitawi na kuwa na nguvu zaidi na zaidi, kama chipukizi kukua baada ya mvua, na umeendelea mbele bila kuzuilika na kukatalika?

17/01/2021

Chanzo cha Mafanikio ya Umeme wa Mashariki

Kile ambacho madhehebu mbalimbali kinaita Umeme wa Mashariki ni Mwokozi Yesu aliyerudi wa siku za mwisho, akishuka kutoka mbinguni juu ya “wingu jeupe”; ni Mungu mwenye vitendo Mwenyewe, ambaye alirejea kwa mwili! Kwa sababu hii, licha ya ukweli kwamba kila dhehebu ulimwenguni humpinga, kumshambulia, au kumshutumu Mungu mwenye mwili wa siku za mwisho au kazi Yake, hakuna mtu yeyote wala nguvu yoyote ambayo inaweza kuzuia au kukomesha kamwe kile Anachotaka kufanikisha. Mamlaka ya Mungu, nguvu, na uweza Wake na hekima haviwezi kushindwa kwa nguvu yoyote ya Shetani.

17/01/2021

Umeme wa Mashariki Unatoka Wapi?

Kutokana na maneno ya Mwenyezi Mungu tunaona kuwa kazi ya Mungu na neno la siku za mwisho ni umeme ambao huangaza kutoka Mashariki. “Umeme” ni mwanga mkubwa, kumaanisha neno la Mungu, njia ya Mungu ya hukumu na kuadibu katika siku za mwisho. Kifungu “unavyotokea mashariki” kinamaanisha hutoka China, na “kumulika pia magharibi” kikimaanisha kuwasili katika nchi za Magharibi. Mwisho, “ujio wa Mwana wa Adamu utakawa hivyo pia” kinahusu Mungu kupata mwili na kwanza akijifichua Mwenyewe na kuanza kazi Yake nchini China katika Mashariki. Huko Analifanya kundi la watu ambao kwa kweli wanamjua Mungu, na wao ni washindi kama ilivyotabiriwa katika Kitabu cha Ufunuo. Kisha kupitia watu hawa, injili ya siku za mwisho itaenea Magharibi, ili kila mmoja atapokea wokovu wa Mungu wa siku ya mwisho. Hili limefanikishwa sasa na ni ukweli ambao unaweza kuonekana na kila mtu!

17/01/2021

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp