Programu ya Kanisa la Mwenyezi Mungu

Sikiliza sauti ya Mungu na ukaribishe kurudi kwa Bwana Yesu!

Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.

Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

(Ma)tokeo ya Kutafuta 0

Hakuna matokeo yaliyopatikana

Hebu Tuone ni Nani Anayemshuhudia Mungu Vema Zaidi

Mwenyezi Mungu wa kweli, nakupenda. Naimba wimbo wa sifa,

nikicheza ngoma ya furaha na changamfu, kwa ajili Yako tu, Mwenyezi Mungu.

Tunaweza kukusifu Wewe kama leo—haya Mungu ameamua kabla.

Mungu wa kweli Ametushinda; sote tunakuja kumsifu Yeye.

Kila mtu njoo na mcheze, njoo muimbe wimbo wa furaha wa kusifu.

Ukiniuliza mimi mbona nacheza hivyo, moyo wangu unapenda, unampenda Mungu!

Maua yanachanua, yanachanua utamu. Kumsifu Mungu, wakati unaofaa wa kukutana.

Fursa iliyokupita haitarudi kamwe. Mashahidi wa Mungu,  ni nani aliye bora zaidi.

Sifa ya kweli huja na furaha, sifa ya kweli kumfurahisha Mungu.

Mchezee Mungu kwa moyo wote, usitake kamwe kukoma.

Kila mtu njoo na mcheze, njoo muimbe wimbo wa furaha wa kusifu.

Ukiniuliza mimi mbona nacheza hivyo, moyo wangu unapenda, unampenda Mungu!

Sasa naweza kuwa katika uwepo wa Mungu, furaha ni isiyoweza kusemwa.

Mungu amenipa maisha mapya, milele nitamsifu Mungu.

Neema ya Mungu, isiyo na mwisho na isiyohesabika; nampenda Mungu kwa moyo wangu.

Majaribu yoyote yale yatakayokuja kwangu, nitamshukuru Mungu kwa upendo Wake.

Kila mtu njoo na mcheze, njoo muimbe wimbo wa furaha wa kusifu.

Ukiniuliza mimi mbona nacheza hivyo, moyo wangu unapenda, unampenda Mungu!

Moyo una furaha, ukiimba nyimbo mpya; ni raha iliyoje, tunapocheza.

Unaimba nyimbo kwa moyo wako, nacheza kwa uchangamfu.

Kwa nyimbo na kucheza, tunamshuhudia Mungu, ambaye neema Yake iko na sisi kila wakati.

Mungu wa kweli Anapata sifa Zayuni, mioyo yetu imejawa na furaha.

Kila mtu njoo na mcheze, njoo muimbe wimbo wa furaha wa kusifu.

Ukiniuliza mimi mbona nacheza hivyo, moyo wangu unapenda, unampenda Mungu!

Kila mtu njoo na mcheze, njoo muimbe wimbo wa furaha wa kusifu.

Ukiniuliza mimi mbona nacheza hivyo, moyo wangu unapenda, unampenda Mungu!

Kila mtu njoo na mcheze, njoo muimbe wimbo wa furaha wa kusifu.

Ukiniuliza mimi mbona nacheza hivyo, moyo wangu unapenda, unampenda Mungu!

Iliyotangulia:Mwenyezi Mungu, Sasa Niko na Wewe

Inayofuata:Furaha katika Nchi Nzuri ya Kanaani

Maudhui Yanayohusiana