118 Watu wa Ufalme wa Mbingu

Maneno ya Bwana yasema, “Tubuni, ufalme wa mbinguni wakaribia.”

Mungu yuko hapa katika siku za mwisho, ufalme Wake kati yetu.

Ufalme wa mbinguni, ufalme wa Kristo, umeonekana duniani.

1

Wanawali werevu huitii sauti ya Mungu na kuja mbele ya kiti Chake.

Tunasoma maneno ya Mungu, tunakubali ukweli, tunahudhuria karamu ya Mwanakondoo.

Hukumu, ufunuo wa maneno Yake yaonyesha asili yangu.

Mdanganyifu na katili, sistahili kuishi mbele Yake.

Kupitia hukumu ya Kristo kunatakasa upotovu wangu.

Nauweka wazi moyo wangu kwa Mungu na hakuna vizuizi.

Nampenda Mungu, kufanya wajibu wangu vizuri, kukubali uchunguzi Wake.

Imani yangu ni kupata ukweli, kuishi mfano wa binadamu.

2

Watu waaminifu wampendao Mungu kweli,

wao ni watu wa ufalme wa mbinguni.

Ufalme wa Kristo ni mbinguni na nyumbani kwa mwanadamu mwaminifu.

Nitampenda Mungu sasa na milele! Nitampenda Mungu milele!

Kula njama kupata baraka zako binafsi ni uovu na kukosa aibu.

Mtu ambaye ni mwadilifu na wa haki, wa heshima moyoni, ni mwaminifu.

Atatoa vyote, ajitumie kwa ajili ya Mungu kurejesha upendo Wake.

Watu waaminifu huuishi ukweli na wana toba ya kweli.

3

Wanaishi kufanya mapenzi ya Mungu, bila malalamiko na bila majuto.

Wanajifunza kumcha Mungu, kuepuka uovu na kuishi mbele Zake.

Kupitia mateso yao na majaribu yao,

bado wanatoa ushuhuda thabiti kumtukuza Mungu.

Watu waaminifu wampendao Mungu kweli,

wao ni watu wa ufalme wa mbinguni.

Ufalme wa Kristo ni mbinguni na nyumbani kwa mwanadamu mwaminifu.

Nitampenda Mungu sasa na milele! Nitampenda Mungu milele!

Iliyotangulia: 117 Wale Wanaompenda Mungu kwa Dhati Wote ni Watu Waaminifu

Inayofuata: 119 Ni Furaha Kuu Sana Kuwa Mtu Mwaminifu

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

418 Umuhumi wa Maombi

Sala ni mojawapo ya njia ambazo mwanadamu hutumia kushirikiana na Mungu, ni njia ambayo mwanadamu hutumia kumwita Mungu, na ni mchakato...

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp