Programu ya Kanisa la Mwenyezi Mungu

Sikiliza sauti ya Mungu na ukaribishe kurudi kwa Bwana Yesu!

Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.

Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

(Ma)tokeo ya Kutafuta 0

Hakuna matokeo yaliyopatikana

Sifu Mafanikio ya Kazi ya Mungu

Kazi kuu ya Mungu inabadilika upesi sana, ni ngumu kuielewa, ya kusadikisha kwa mwanadamu.

Tazama pale ulipo, sio kama awali, kila kitu ni kizuri na kipya.

Kila kitu kinafufuliwa, vyote kufanyunywa upya, vyote kubadilishwa.

Watu wa Mungu msifuni Mungu, kwa furaha nyingi, nyimbo za sifa zipae mawinguni kuelekea Kwake.

Msifuni Yeye! Pazeni sauti kwa furaha na kuimba! Watu wote msifuni Mungu sana.

Msifuni Yeye! Pazeni sauti kwa furaha na kuimba! Watu wote msifuni Mungu sana.

Sifa kwa matendo ya Mungu ya ajabu, sifu hekima ya Mungu, isiyoshindwa,

sifuni tabia ya Mungu yenye haki, msifuni Mungu kwani Yeye ni Mungu mwaminifu.

Ni maneno ya Mungu ambayo yamenitakasa na kuibadilisha tabia yangu potovu.

Nimefurahishwa na kazi niliyopewa na Mungu, kuwa na ushuhuda kwa matendo Yake matakatifu.

Msifu Yeye! Imbeni sifa kwa jina Lake!

Tukiimba sifa Kwake kutoka katika mioyo yetu yenye furaha.

Msifu Yeye! Imbeni sifa kwa jina Lake!

Tukiimba sifa Kwake kutoka katika mioyo yetu yenye furaha.

Wale wanaompenda Mungu, wanaomtii Yeye kila wakati, na kuishi kwa kudhihirisha ukweli wa neno Lake.

Wakiwa wameshatupilia mbali dhambi zao na uchafu, wote wanatakaswa.

Kuwa na ushuhuda kwa jina takatifu la Mungu, ili kutosheleza moyo wa Mungu.

Haki na utakatifu vimejazwa humu duniani,

kila mahali ni kuzuri na kupya.

Msifu Yeye! Imbeni sifa kwa jina Lake!

Tukiimba sifa Kwake kutoka katika mioyo yetu yenye furaha.

Msifu Yeye! Imbeni sifa kwa jina Lake!

Tukiimba sifa Kwake kutoka katika mioyo yetu yenye furaha.

Sifuni mafanikio ya kazi ya Mungu, Mungu ametukuzwa kabisa,

Watu wote wa Mungu wamenyenyekea mbele za Mungu;

Kila moja anatimiza kazi yake, analinda sehemu yake mwenyewe.

Wakiishi katika neno la Mungu, wakimwabudu na kumsifu Mungu mbele ya Mungu.

Pamoja na Yeye, wanaoshwa,

kuoshwa kwa furaha.

Msifuni Yeye! Pamoja, tunamsifu Yeye!

Nyimbo zetu za sifa hazitakoma kamwe.

Msifuni Yeye! Pamoja, tunamsifu Yeye!

Nyimbo zetu za sifa hazitakoma kamwe.

Iliyotangulia:Ufalme Takatifu Umeonekana

Inayofuata:Ee Mwenyezi Mungu, Mpendwa Wangu Mzuri

Maudhui Yanayohusiana