273 Sitapumzika Mpaka Nipate Ukweli

Ninathibitisha kwamba Kristo ndiye ukweli, njia, na uzima. Sitapumzika mpaka nimjue Mungu!

Kama siwezi kuvumilia mateso ninayopaswa kubeba, sitastahili kuitwa binadamu kamwe. Kama siwezi kulipiza upendo wa Mungu nitahisi aibu mno kumwona Yeye.

1

Neno kuonekana katika mwili ni Mungu Mwenyewe. Yeye ndiye Mungu mwenye mwili wa vitendo katika siku za mwisho.

Kabla ya muda kuanza, Alitabiri kuzaliwa kwangu katika siku za mwisho. Kupitia kunishinda na kunikomboa, Mungu amenipa uhai Wake.

Mungu amehukumu asili ya binadamu yenye dhambi. Ameweka wazi uso mbaya na mwovu wa wanadamu wa Shetani.

Nimeaibika nisiwe na mahali pa kujificha, nina aibu kabisa. Najua kwamba mimi si kitu ila uchafu mdogo.

Sina chochote kilichobaki cha kujivunia. Ninasujudu chini, moyo wangu umeshindwa.

2

Haki na utakatifu wa Mungu hufunua uasi wangu, na ninadharau ubaya na uovu wangu hata zaidi.

Uhai halisi wa Mungu ni ukweli. Moyo wangu una kiu ya ukweli, nitajitahidi kuwa na maendeleo.

Kumjua Mungu kunanitia moyo kufuatilia maisha. Kuishi kwa maneno Yake kweli ni baraka kubwa.

Nimejielewa kupitia kwa kazi ya Mungu. Nimeona upotovu wangu wa kina, kwamba mimi sistahili kumtumikia.

Nina hamu ya kutii, kujitoa, na kumpenda Mungu kwa kimya. Ninahisi kuridhika kwamba ninaweza kumshuhudia.

Iliyotangulia: 272 Ili Kuishi Mtu Lazima Awe na Ukweli

Inayofuata: 274 Tambua Kuwa Kristo Ni Ukweli Milele

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

418 Umuhumi wa Maombi

Sala ni mojawapo ya njia ambazo mwanadamu hutumia kushirikiana na Mungu, ni njia ambayo mwanadamu hutumia kumwita Mungu, na ni mchakato...

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp