Programu ya Kanisa la Mwenyezi Mungu

Sikiliza sauti ya Mungu na ukaribishe kurudi kwa Bwana Yesu!

Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.
Wimbo wa Kuabudu "Viumbe Wote Lazima Waje Chini ya Utawala wa Mungu" | Manifestation of Power of God 3:48

Wimbo wa Kuabudu "Viumbe Wote Lazima Waje Chini ya Utawala wa Mungu" | Manifestation of Power of God

Wimbo wa Kuabudu "Viumbe Wote Lazima Waje Chini ya Utawala wa Mungu" | The Manifestation of the Power of God


Mungu aliumba vitu vyote, na hivyo Yeye hufanya viumbe vyote kuja chini ya amri Yake, na kutii utawala Wake. Anaamuru vitu vyote, akividhibiti katika mi…

Wimbo wa Injili 2018 | "Matendo Ya Mungu Yanajaza Ulimwengu Mzima Tupu" | Sifu Matendo ya Ajabu ya Mungu 3:40

Wimbo wa Injili 2018 | "Matendo Ya Mungu Yanajaza Ulimwengu Mzima Tupu" | Sifu Matendo ya Ajabu ya Mungu

Wimbo wa Injili 2018 | "Matendo Ya Mungu Yanajaza Ulimwengu Mzima Tupu" | Sifu Matendo ya Ajabu ya Mungu


I Mungu anatazama chini juu ya vitu vyote kutoka juu, na Anatawala vitu vyote kutoka juu. Wakati huo huo, Mungu ametuma wokovu Wake juu ya dunia. Mungu anaa…

Wimbo wa Maneno ya Mungu | "Jinsi Mungu Anavyotawala Vitu Vyote" 4:42

Wimbo wa Maneno ya Mungu | "Jinsi Mungu Anavyotawala Vitu Vyote"

Wimbo wa Maneno ya Mungu | "Jinsi Mungu Anavyotawala Vitu Vyote"


I Kutoka unapoingia katika dunia hii ukilia, unaanza kutenda wajibu wako. Katika mpango na utaratibu wa Mungu, unachukua nafasi yako, na unaanza safari ya maisha. Vyovyote vilivyo msingi wako ama …

Wimbo wa Maneno ya Mungu Jinsi Mungu Anavyotawala Vitu Vyote

IKutoka unapoingia katika dunia hii ukilia,unaanza kutenda wajibu wako.Katika mpango na utaratibu wa Mungu,unachukua nafasi yako,na unaanza safari ya maisha.Vyovyote vilivyo msingi wakoama safari iliyo mbele yako,hakuna … Maandishi Yote

Swahili Gospel Praise Music "Kila Kitu Kinaishi Chini ya Sheria na Masharti Yaliyowekwa na Mungu" 4:26

Swahili Gospel Praise Music "Kila Kitu Kinaishi Chini ya Sheria na Masharti Yaliyowekwa na Mungu"

Miaka elfu kadhaa imepita, na mwanadamu angali anafurahia nuru na hewa aliyopewa na Mungu, angali anapumua pumzi iliyotolewa na Mungu Mwenyewe, angali anafurahia maua, ndege, samaki na wadudu walioumbwa na Mungu, na kufurahia viumbe vyote vilivyotolewa na Mungu; mchana na u…

Wimbo wa Maneno ya Mungu Maonyesho Kamili ya Mamlaka ya Muumba

IKwa mamlaka ya Muumba, miujiza yaonekana,ikiwa na mvuto kwa mwanadamu,Mwanadamu hutazama kwa butwaa.Nguvu Zake huleta furaha;mwanadamu hustabishwa, kwa furaha tele.Kwa kupendezwa na kushangaa, Yeye hushangilia.Mwanadamu… Maandishi Yote

Ukaribisheni Urejeaji wa Bwana Yesu | Sifa na Ibada "Mungu Ameleta Utukufu Wake Mashariki" 3:34

Ukaribisheni Urejeaji wa Bwana Yesu | Sifa na Ibada "Mungu Ameleta Utukufu Wake Mashariki"

Ukaribisheni Urejeaji wa Bwana Yesu | Sifa na Ibada "Mungu Ameleta Utukufu Wake Mashariki"


Mungu aliipa Israeli utukufu Wake kisha Akauhamisha mbali na pale, na kuwaleta Waisraeli na kuwaleta watu wote Mashariki. Mungu amewaelekeza wote kwenye mwanga ili waweze…

,

Muujiza katika Msiba | Video ya Injili "Mungu Abariki" 25:13

Muujiza katika Msiba | Video ya Injili "Mungu Abariki"

Watu mara nyingi husema kwamba "Dhoruba hukusanyika bila tahadhari na balaa huwafika watu kwa ghafula sana." Katika enzi yetu iliyopo ya kupanua kwa haraka kwa sayansi, uchukuzi wa kisasa na utajiri wa mali, maafa yanayotokea pande zote zinazotuzunguka huongeza kila siku. T…

Mungu ni Mungu | "Zingatia Majaliwa ya Binadamu" | Swahili Christian Song 03:05

Mungu ni Mungu | "Zingatia Majaliwa ya Binadamu" | Swahili Christian Song

Zingatia Majaliwa ya Binadamu


Mungu awahimiza makabila yote, mataifa na nyanja zote: Sikizeni sauti Yake, muione kazi Yake; mzingatie hatima ya wanadamu; mfanye Mungu Mtakatifu na Mheshimiwa, Mkuu na wa pekee wakuabudiwa,


ulimwengu wote, na wanada…

Wimbo wa Maneno ya Mungu Zingatia Majaliwa ya Binadamu

--Mungu awahimiza makabila yote,mataifa na nyanja zote:Sikizeni sauti Yake, muione kazi Yake;mzingatie hatima ya wanadamu;mfanye Mungu Mtakatifu na Mheshimiwa,Mkuu na wa pekee wakuabudiwa,ulimwengu wote, na wanadamu,wais… Maandishi Yote