16 Mwenyezi Mungu, Mfalme wa Utukufu

1

Mwenyezi Mungu mwenye mwili

ni Mfalme wa Utukufu, ni Mfalme wa Utukufu.

Anaketi kwenye kiti cha enzi na kuhukumu mataifa yote na watu wote.

Kwa utukufu na ghadhabu, Anatokea Mashariki ya ulimwengu,

na hukumu ya kiti kikuu cheupe cha enzi imeanza.

Mwenyezi Mungu ni mshindi,

akitawala mataifa yote kwa fimbo Yake ya chuma.

Mwenyezi Mungu ndiye Mfalme wa utukufu,

Mfalme wa utukufu ni Mwenyezi Mungu.

2

Mwenyezi Mungu mwenye mwili

ni Mfalme wa Utukufu, ni Mfalme wa Utukufu.

Mwenyezi Mungu ni mfalme wa utukufu,

mfalme wa utukufu ni Mwenyezi Mungu.

hakuna wokovu isipokuwa Yeye.

Mwenyezi Mungu ndiye Mwanakondoo.

Anafungua kitabu na kufungua mihuri saba.

Mfalme wa utukufu ni Mwenyezi Mungu.

Mwenyezi Mungu ndiye Mfalme wa utukufu.

3

Mwenyezi Mungu mwenye mwili

ni Mfalme wa Utukufu, ni Mfalme wa Utukufu.

Anaitamatisha Enzi ya Neema na kuleta Enzi ya Ufalme.

Maneno Anayonena ni kama umeme,

ukiangaza kutoka Mashariki na kung’aa hadi Magharibi.

Mwenyezi Mungu ni nuru ya kweli.

Mataifa yote huenda katika nuru Yake.

Mwenyezi Mungu ndiye Mfalme wa utukufu,

Mfalme wa utukufu ni Mwenyezi Mungu.

4

Mwenyezi Mungu mwenye mwili

ni Mfalme wa Utukufu, ni Mfalme wa Utukufu.

Amemshinda Shetani na atatawala kama Mfalme milele na milele.

Tutachukua nafasi zetu kama viumbe walioundwa

na kumwabudu mwenye Uweza aliyekuwa, aliye, na atakayekuja.

Mwenyezi Mungu, Mungu pekee wa kweli.

Sifa zote, heshima, utukufu na mamlaka viwe Kwake!

Mfalme wa utukufu ni Mwenyezi Mungu.

Mwenyezi Mungu ndiye Mfalme wa utukufu.

Iliyotangulia: 15 Mungu Mwenye Haki, Uweza na wa Utendaji

Inayofuata: 17 Mungu Yuko Kwenye Kiti cha Enzi

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp