Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.

Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

(Ma)tokeo ya Kutafuta 0

Hakuna matokeo yaliyopatikana

19 Mungu Yuko Kwenye Kiti cha Enzi

1

Msifu Mungu mwenye mwili ukizungumza maneno katika siku za mwisho.

Imba kwamba Amerudi na Enzi ya Ufalme.

Wateule wa Mungu wanainuliwa mbele Zake, na sote tunasujudu kwa ibada kwa Mungu.

Mungu sasa Yuko kwenye kiti kitukufu cha enzi!

Jinsi gani Alivyo mtukufu na Anavyopendeza!

Mwenyezi, Yule aliyepo na aliyekuwepo, anatawala kama Mfalme duniani.

Yanauangaza ulimwengu wa giza, maneno ya Mungu, nuru ya kweli.

Watu wote watatii mbele za Mungu, wakaribishe ujio Wake.

Nyimbo zinazomsifu zinafika angani, Mungu yuko kwenye kiti cha enzi.

2

Maneno ya Mungu hutupa maji ya uzima.

Tunakula, kunywa maneno ya Mungu, ana kwa ana na Yeye, na hatimaye tunahudhuria karamu.

Mungu hututenga na ulimwengu uliopotoka.

Kisha tunajiondolea minyororo ya ulimwengu, na kuingia katika mafunzo ya ufalme.

Mwenyezi, Yule aliyepo na aliyekuwepo, anatawala kama Mfalme duniani.

Yanauangaza ulimwengu wa giza, maneno ya Mungu, nuru ya kweli.

Watu wote watatii mbele za Mungu, wakaribishe ujio Wake.

Nyimbo zinazomsifu zinafika angani, Mungu yuko kwenye kiti cha enzi.

3

Hukumu imeanza katika nyumba ya Mungu, ikifichua utakatifu, haki ya Mungu.

Hukumu na kuadibu kwa maneno Yake kunatutakasa na kutubadilisha kuwa watu wapya.

Mwenyezi Mungu hufuta machozi yetu, ili tufurahie maisha ya ufalme milele.

Mwenyezi, Yule aliyepo na aliyekuwepo, anatawala kama Mfalme duniani.

Yanauangaza ulimwengu wa giza, maneno ya Mungu, nuru ya kweli.

Watu wote watatii mbele za Mungu, wakaribishe ujio Wake.

Nyimbo zinazomsifu zinafika angani, Mungu yuko kwenye kiti cha enzi.

4

Mungu ni mwenye busara na uweza katika kazi Yake, akitumia joka kubwa jekundu kufanya huduma.

Maneno ya Mungu sasa yanatuonyesha uweza Wake, yanashinda, yafanyiza kikundi cha washindi.

Mungu anatuongoza kuwa na ushuhuda katika dhiki.

Mungu amemshinda Shetani na kupata utukufu wote.

Mwenyezi, Yule aliyepo na aliyekuwepo, anatawala kama Mfalme duniani.

Yanauangaza ulimwengu wa giza, maneno ya Mungu, nuru ya kweli.

Watu wote watatii mbele za Mungu, wakaribishe ujio Wake.

Nyimbo zinazomsifu zinafika mbinguni, Mungu yuko kwenye kiti cha enzi.

Iliyotangulia:Mwenyezi Mungu, Mfalme wa Utukufu

Inayofuata:Wito wa Tarumbeta ya Hukumu Umesikika

Maudhui Yanayohusiana

 • Nitampenda Mungu Milele

  1 Ee Mungu! Maneno Yako yananiita nirudi Kwako. Nakubali kufundishwa katika ufalme Wako mchana na usiku. Mara nyingi sana nilikuwa dhaifu na hasi, m…

 • Ni kwa Njia ya Majaribio ya Kuumiza tu Ndipo Unaweza Kuyajua Uzuri wa Mungu

  I Kufuatilia kuridhika kwa Mungu ni kutenda maneno ya Mungu kwa upendo kwa Mungu. Bila kujali wakati, kama wengine hawana nguvu, ndani, moyo wako bado…

 • Upendo Safi Bila Dosari

  1 Upendo ni hisia safi sana, safi bila dosari. Tumia moyo wako, tumia moyo wako kupenda na kuhisi na kutunza. Upendo hauweki masharti au vizuizi au ba…

 • Mradi tu Usimwache Mungu

  Upendo na huruma za Mungu hupenyeza katika kila sehemu ya kazi ya usimamizi Wake, na bila kujali kama watu wanaweza kuelewa nia njema za Mungu, bado …