96 Mungu Amelipa Gharama Kubwa Mno

1

Mungu amekuwa mwili katika siku za mwisho, Yeye ni mnyenyekevu na Aliyejificha kati ya mwanadamu.

Anaonyesha ukweli kumwokoa mwanadamu, Akitoa vyote bila malalamiko.

Moyo Wake ni mkarimu, lakini Anakutana na dharau.

Mungu amelipa gharama kubwa sana, lakini ni nani aliyemkaribisha kwa tabasamu?

Amefanya kila juhudi kumwokoa mwanadamu.

Kwa nini watu hawauelewi moyo Wake?

2

Mungu ananiita kwa maneno, na kuniinua mbele ya kiti Chake cha enzi.

Mimi ni mjinga na niliyepungukiwa, na Mungu ananipa nuru; ni mwenye huzuni na dhaifu, na Mungu hunifariji.

Ninapojivuna, kuwa mwenye kujidai, mwasi, hukumu na kuadibu kwa Mungu hunifundisha nidhamu.

Mungu hataniacha kamwe hadi upotovu wangu utakapotakaswa.

Nionapo kiasi cha upendo aliotoa Mungu,

Nitatoa nafsi yangu yote kumridhisha Mungu.

3

Mungu anaishi nasi, Akishiriki shida, utamu na uchungu.

Ameniongoza kwenye njia ya ufalme, na nimepitia mwingi wa upendo Wake.

Mungu atarudi Sayuni; tungaliweza tu kukusanyika kwa muda mrefu zaidi.

Nimejaa huzuni na kusita, bila kujua ni lini tutaungana tena.

Nakumbuka neema ya Mungu, picha za zamani ngumu kusahau.

Nahisi sana kuingilika Kwake, kustahili kwa heshima, na kupendeza Kwake.

Upendo mkuu wa Mungu umechorwa moyoni mwangu.

Daima, namfuata bila kuyumba.

Nitampenda Mungu, na kulipa upendo Wake, maishani mwangu mwote.

Iliyotangulia: 95 Kujitolea Kwa Upendo

Inayofuata: 97 Mungu Amekuwa Akifanya Kazi Hadi Sasa, Lakini Kwa Nini Bado Huelewi?

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp