50 Upendo wa Mungu Hutuleta Karibu Zaidi Pamoja

1

Ingawa tumetengwa na maziwa na milima isiyohesabika,

sisi tuko pamoja, bila mipaka kati yetu,

tukiwa na rangi tofauti za ngozi na kuzungumza ndimi tofauti.

Kwa sababu maneno ya Mwenyezi Mungu yanatuita,

tunainulia juu mbele ya kiti cha enzi cha Mungu.

Tunainulia juu mbele ya kiti cha enzi cha Mungu.

Ni pamoja na Mungu pekee ndio kuna upendo,

ni pamoja na upendo ndiyo kuna familia.

Wote wanaompenda Mungu ni familia moja.

Tunakuja pamoja katika upendo wa Mungu.

Tunakuja pamoja katika upendo wa Mungu.

Maneno ya Mungu yako pamoja nasi tunapokua.

Tukiishi katika ufalme wa kupendeza,

tunamwabudu Mwenyezi Mungu milele na milele.

Tunaabudu milele na milele!

Tunaabudu milele na milele!

2

Kuna wale wakongwe, wenye mvi kila pahali,

na wale vijana, werevu na wanaong’aa.

Mkono kwa mkono, bega kwa bega,

tunatembea pamoja katika upepo na mvua,

tukitiana moyo katika dhiki.

Kwa akili moja tunatimiza wajibu wetu.

Ni pamoja na Mungu pekee ndio kuna upendo

(ni pamoja na Mungu pekee ndio kuna upendo),

ni pamoja na upendo ndiyo kuna familia.

Wote wanaompenda Mungu ni familia moja.

Tunakuja pamoja katika upendo wa Mungu (katika upendo wa Mungu).

Tunakuja pamoja katika upendo wa Mungu.

Maneno ya Mungu yako pamoja nasi tunapokua.

Tukiishi katika ufalme wa kupendeza (wa kupendeza sana),

tunamwabudu Mwenyezi Mungu milele na milele.

Tunaabudu milele na milele (tunaabudu)!

Tunaabudu milele na milele!

3

Mioyo yetu imeungana, tunakuwa wandani maishani,

tumeletwa pamoja na maneno na upendo wa Mungu.

Maneno ya Mungu ndiyo chemichemi ya kisima cha maji yaishiyo.

Tukifurahia maneno ya Mungu, mioyo yetu imejaa utamu.

Kuadibu kwa maneno Yake, hukumu ya maneno Yake,

hutakasa tabia zetu potovu.

Ni pamoja na Mungu pekee ndio kuna upendo

(ni pamoja na Mungu pekee ndio kuna upendo),

ni pamoja na upendo ndiyo kuna familia.

Wote wanaompenda Mungu ni familia moja.

Tunakuja pamoja katika upendo wa Mungu (katika upendo wa Mungu).

Tunakuja pamoja katika upendo wa Mungu.

Maneno ya Mungu yako pamoja nasi tunapokua.

Tukiishi katika ufalme wa kupendeza (wa kupendeza sana),

tunamwabudu Mwenyezi Mungu milele na milele.

Tunaabudu milele na milele (tunaabudu)!

Tunaabudu milele na milele!

Ni kwa kupogolewa na kushughulikiwa pekee ndiyo

tunakuwa na umbo la binadamu.

Katika uhasi na udhaifu, tunasaidiana.

4

Tuko pamoja katika dhiki

Tukitoa ushahidi katika ushahidi, tunamshinda Shetani.

Tunaepa giza na kuishi katika mwangaza.

Tukiwa waaminifu na watiifu, sisi ni dhihirisho la utukufu wa Mungu.

Tunajua haki na uzuri wa Mungu.

Tunapitia njia nyingi zisizohesabika ambazo Mungu anatupenda sisi.

Tukiwa tumekumbatiwa kifuani mwa Mungu,

maisha yetu duniani ni kama yalivyo mbinguni.

Ni pamoja na Mungu pekee ndio kuna upendo

(ni pamoja na Mungu pekee ndio kuna upendo),

ni pamoja na upendo ndiyo kuna familia.

Wote wanaompenda Mungu ni familia moja.

Tunakuja pamoja katika upendo wa Mungu

(tunakuja pamoja katika upendo wa Mungu).

Tunakuja pamoja katika upendo wa Mungu.

Maneno ya Mungu yako pamoja nasi tunapokua.

Tukiishi katika ufalme wa kupendeza (wa kupendeza sana),

tunamwabudu Mwenyezi Mungu milele na milele.

Tunaabudu milele na milele (tunaabudu)!

Tunaabudu milele na milele!

Iliyotangulia: 49 Anga Hapa ni Samawati Sana

Inayofuata: 51 Maisha yetu Ni Furaha Isiyo na Mwisho

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

418 Umuhumi wa Maombi

Sala ni mojawapo ya njia ambazo mwanadamu hutumia kushirikiana na Mungu, ni njia ambayo mwanadamu hutumia kumwita Mungu, na ni mchakato...

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp