89 Kazi ya Mungu Hakika ni ya Ajabu

1

Mawingu yanazunguka milima, yakisita kuondoka. Mungu, maneno Unayonena yanatutikisa sisi,

makumi ya maelfu ya mioyo yenye ari, na kutuleta karibu nawe.

Umetushinda kabisa kwa kuonyesha ukweli, tumefurahia upendo Wako.

Maneno Yako yatakasa upotovu Wetu, na kuwa maisha yetu.

Maneno Yako ni ukweli na uzima, yakituongoza mbele kupitia mvua na upepo.

Dhiki na majaribu huimarisha mioyo yetu ya upendo Kwako.

Uzuri Wako uko moyoni mwangu daima.

2

Meli zinainua tanga nyeupe na kwenda mbali kwa upepo mzuri, watu wa Mungu wakomaa kupitia maji ya dhoruba.

Mungu anatuongoza katika shida na taabu, nyakati nzuri zinabaki mioyoni mwetu.

Hukumu na kuchomwa kwa maneno ya Mungu vimetakasa upotovu wetu.

Maisha mazuri katika ufalme yameanza, na tunafanywa upya, wa kusisimua na wachangamfu.

Tunafurahia utajiri wa Kanaani mzuri, tunaishi maisha yetu duniani kama tuko mbinguni.

Watu wa Mungu wako pamoja na Mungu; ni furaha na uzuri mkuu, na raha yetu ni ya milele.

Iliyotangulia: 88 Nashukuru kwa Upendo wa Mungu

Inayofuata: 90 Upendo wa Mungu kwa Mwanadamu Ni Halisi Zaidi

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

418 Umuhumi wa Maombi

Sala ni mojawapo ya njia ambazo mwanadamu hutumia kushirikiana na Mungu, ni njia ambayo mwanadamu hutumia kumwita Mungu, na ni mchakato...

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp