171 Wito wa Nafsi

1

Kuishi bara China ukitawaliwa na CCP, ni vigumu sana kumwamini Mungu!

Sio tu kwamba hatuwezi kukusanyika kama kawaida, lakini pia tunakabiliwa na ukamataji tunapoeneza injili.

Nyumbani kwangu kunaweza kuwa kwangu lini, mahali ambapo kwa kawaida tunaweza kukusanyika na kumwomba Mungu?

Nitaweza kueneza injili na kumshuhudia Mungu bila woga wa kukamatwa lini?

Nitaweza kuacha kukimbia lini, na kuwa na wazazi wangu na wapendwa wangu?

Je, uhuru wa imani, haki za binadamu na demokrasia zitakoma kuwa uwongo lini?

Oh, ninatumai kuwa dada zangu watafunguliwa kutoka gerezani hivi karibuni!

Ah, ninatamani sana haki kwa ndugu zangu waliouawa!

Nchi hii inayotawaliwa na pepo wabaya ni mbovu kama nini; mwanga wa maisha ya mwanadamu upo wapi?

Kumfuata Kristo, lazima nitoe ushuhuda mkubwa sana kwa Mungu, bila kujali dhiki ni kuu kiasi gani.

2

Kupitia mateso na taabu, naona kuwa CCP ni mfano halisi wa Shetani.

Inamsaka Kristo, na kuwatesa na kuwauwa Wakristo; uhabithi wake hauna mwisho.

Uhuru wa imani nchini China hauwezekani CCP wakati inashikilia madaraka.

Ninapomfuata Kristo na kufuatilia ukweli na uzima, ninawezaje kuyajali maisha yangu?

Maneno yote ya Kristo ni ukweli, na yametiwa ndani kabisa moyoni mwangu.

Bila kujali CCP ni kali kiasi gani, bado inafanya huduma kwa ajili ya kukamilishwa kwa watu wa Mungu.

Kadiri watu wakomavu wa Mungu wanavyozidi kuwa wengi, ndivyo Shetani anavyozidi kushindwa. Maneno ya Mungu hakika yatatimizwa.

Tayari Mungu amefanyiza kikundi cha washindi wamshuhudie Mungu.

Katika kipindi cha mwisho, nitahubiri na kushuhudia kwa Mungu, bila kujali jinsi mateso yalivyo makubwa.

Natambua kwamba Kristo ndiye ukweli, njia, na uzima, na namfuata Mungu kwa moyo dhabiti.

Iliyotangulia: 170 Ushuhuda wa Maisha

Inayofuata: 172 Tunakamilisha Misheni Yetu

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

418 Umuhumi wa Maombi

Sala ni mojawapo ya njia ambazo mwanadamu hutumia kushirikiana na Mungu, ni njia ambayo mwanadamu hutumia kumwita Mungu, na ni mchakato...

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp