261 Natamani Kutoa Maisha Yangu Yote kwa Mungu

1

Tumekuwa mbalimbali kwa kipindi cha muda,

na muda kiasi tukiwa pia pamoja.

Ilhali unanipenda mimi zaidi ya kila kitu kingine.

Nimekuasi Wewe mara nyingi

na nikakuhuzunisha mara nyingi.

Ninawezaje kusahau mambo kama haya?

Kazi uliyofanya ndani yangu mimi na kile ambachoumeniaminia nazingatia daima,

sikisahau kamwe.

Pamoja na kazi uliyonifanyia mimi nimejaribu kadri ya uwezo wangu.

Unajua kile ninachoweza kufanya, na unajua zaidi wajibu ninaoweza kutekeleza.

Ningependa kuyatoa maisha yangu yote kwa ajili Yako wewe.

Siombi chochote, na wala sina matumaini au mipango mingine;

ningependa tu kuchukua hatua kulingana

na nia Zako na kutimiza mapenzi Yako. Nitakunywa kutoka kwenye kikombe Chako kichungu,

na mimi ni Wako wa kuamuru.

2

Unajua kile ninachoweza kufanya,

na unajua zaidi wajibu ninaoweza kutekeleza.

Nitafanya lolote utakalo na nitajitolea

kila kitu nilichonacho Kwako.

Wewe tu ndiwe unayejua kile ninachoweza kukufanyia Wewe.

Ningependa kuyatoa maisha yangu yote kwa ajili Yako wewe.

Siombi chochote, na wala sina matumaini au mipango mingine;

ningependa tu kuchukua hatua kulingana

na nia Zako na kutimiza mapenzi Yako. Nitakunywa kutoka kwenye kikombe Chako kichungu,

na mimi ni Wako wa kuamuru.

3

Ingawa Shetani alinidanganya sana

na nikakuasi Wewe,

ninaamini kwamba Hunikumbuki mimi kwa ajili ya dhambi hizo,

kwamba hunichukulii mimi kutokana na hizo dhambi.

Ningependa kuyatoa maisha yangu yote kwa ajili Yako wewe.

Siombi chochote, na wala sina matumaini au mipango mingine;

ningependa tu kuchukua hatua kulingana

na nia Zako na kutimiza mapenzi Yako. Nitakunywa kutoka kwenye kikombe Chako kichungu,

na mimi ni Wako wa kuamuru.

Iliyotangulia: 260 Natafuta tu Kumpenda Mungu Moyoni Mwangu

Inayofuata: 262 Napata Mengi Sana Kutoka kwa Hukumu na Kuadibu kwa Mungu

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

418 Umuhumi wa Maombi

Sala ni mojawapo ya njia ambazo mwanadamu hutumia kushirikiana na Mungu, ni njia ambayo mwanadamu hutumia kumwita Mungu, na ni mchakato...

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp