Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.

Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

(Ma)tokeo ya Kutafuta 0

Hakuna matokeo yaliyopatikana

224 Napata Mengi Sana Kutoka kwa Hukumu na Kuadibu kwa Mungu

1

Mungu, wakati Unanitendea wema ninapata furaha, na kuhisi faraja;

wakati unaniadibu, najisikia faraja kubwa zaidi na furaha.

Ingawa mimi ni mdhaifu, na kuvumilia mateso yasiyotajika,

ingawa kuna machozi na huzuni,

Unajua kwamba huzuni huu ni kwa sababu ya kutotii kwangu,

na kwa sababu ya udhaifu wangu.

Mimi ninalia kwa sababu siwezi kukidhi hamu Yako,

nahisi huzuni na majuto kwa sababu mimi sitoshi kwa mahitaji Yako,

lakini niko tayari kufikia ulimwengu huu,

niko tayari kufanya yote niwezayo ili nikuridhishe.

Adabu Yako imeniletea ulinzi, na kunipa wokovu bora;

hukumu Yako inazidi ustahimili Wako na uvumilivu Wako.

Bila adabu Yako na hukumu, singefurahia huruma Yako na rehema.

Bila adabu Yako na hukumu, singefurahia huruma Yako na rehema.

2

Leo, naona zaidi kwamba upendo wako

umepita mipaka ya mbinguni na kuwa bora ya yote.

Upendo wako sio tu huruma na fadhili;

hata zaidi ya hayo, ni adabu na hukumu.

Adabu Yako na hukumu imenipa mengi.

Bila adabu Yako na hukumu, hakuna hata mmoja angetakaswa,

na hakuna hata mmoja angeweza kupata upendo wa Muumba.

Adabu Yako imeniletea ulinzi, na kunipa wokovu bora;

hukumu Yako inazidi ustahimili Wako na uvumilivu Wako.

Bila adabu Yako na hukumu, singefurahia huruma Yako na rehema.

Adabu Yako imeniletea ulinzi, na kunipa wokovu bora;

hukumu Yako inazidi ustahimili Wako na uvumilivu Wako.

Bila adabu Yako na hukumu, singefurahia huruma Yako na rehema.

Bila adabu Yako na hukumu, singefurahia huruma Yako na rehema.

Iliyotangulia:Hukumu Huninitakasa

Inayofuata:Ni Mungu Ambaye Ameniokoa

Maudhui Yanayohusiana

 • Mradi tu Usimwache Mungu

  Upendo na huruma za Mungu hupenyeza katika kila sehemu ya kazi ya usimamizi Wake, na bila kujali kama watu wanaweza kuelewa nia njema za Mungu, bado …

 • Tilia Maanani Majaliwa ya Binadamu

  1 Mungu anawahimiza watu wa makabila yote, nchi zote na hata nyanja: Sikilizeni sauti ya Mungu na kuona kazi Yake; tilia maanani jaala ya binadamu; mf…

 • Upendo Safi Bila Dosari

  1 Upendo ni hisia safi sana, safi bila dosari. Tumia moyo wako, tumia moyo wako kupenda na kuhisi na kutunza. Upendo hauweki masharti au vizuizi au ba…

 • Toa Akili na Mwili ili Kutimiza Agizo la Mungu

  I Kama washiriki wa jamii ya wanadamu, kama wafuasi wa Kristo wa dhati, ni wajibu wetu, jukumu letu kutoa akili zetu na miili yetu kwa kutimiza agizo …