Programu ya Kanisa la Mwenyezi Mungu

Sikiliza sauti ya Mungu na ukaribishe kurudi kwa Bwana Yesu!

Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.

Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

(Ma)tokeo ya Kutafuta 0

Hakuna matokeo yaliyopatikana

Milele Kumsifu na Kumwimbia Mungu

Mungu anakuwa mwili, anaonekana nchini China,

Akionyesha ukweli kuhukumu na kuwatakasa wanadamu wote.

Ameleta wokovu Wake.

Watu kutoka mataifa yote wanakuja kusherehekea.

Milele wakisifu na kuimba jina Lake.

Hatujawahi kuota mbeleni kuona uso wa Mungu.

Hukumu na majaribio Anayotoa yanatatakasa na kutufanya wakamilifu.

Tabia ya maisha yetu sasa imebadilishwa.

Milele kusifu na kuimba jina Lake.

Maneno ya Mwenyezi Mungu yanaonyesha kuwa na nguvu Kwake,

kwa kuwa Ameshinda mioyo yetu, Akituletea uzima wa kweli.

Tunafurahia upendo wote tunaopokea kutoka kwake.

Milele kusifu na kuimba jina Lake.

Ni bahati iliyoje na baraka kuja mbele za Mungu wetu.

Kupokea hukumu Yake, tumefanywa wakamilifu naye.

Alitawaza hili, na tunasujudu kwa ibada.

Milele kusifu na kuimba jina Lake.

Tunakuja uso kwa uso na Yeye kila siku.

Maneno Yake yanaadibu na maneno Yake yanatuhukumu.

Tunaona upotovu wetu, kazi Yake inatufanya wapya.

Milele kusifu na kuimba jina Lake.

Tunaonja wokovu Wake. Tunakutana na maneno Yake.

Tunapata ukweli na kujua Yeye ni mwenye haki na mtakatifu.

Kristo wa siku za mwisho ametuletea uzima wa milele.

Milele kusifu na kuimba jina Lake.

Maneno ya Mungu yanatuhukumu na kututakasa sisi sote.

Washindi wamefanyika.

Amefanikisha utukufu mkuu.

Uweza Wake wa vyote umeonyeshwa, hekima Yake imefichuliwa.

Milele tunasifu na kuimba jina Lake.

Mwenyezi Mungu, tunasifu na kuliinua jina Lako takatifu.

Watu wote wanacheza na kuimba nyimbo mpya, na mataifa yote yanamsifu Mungu.

Ufalme wa Mungu hapa duniani. Tunakuja na kumtukuza Mungu.

Milele kusifu na kuimba jina Lake.

Milele kusifu na kuimba jina Lake.

Iliyotangulia:Upendo wa Kweli Miongoni mwa Binadamu

Inayofuata:Kutafuta Wandani

Maudhui Yanayohusiana