41 Sifa kwa Mwenyezi Mungu Haitakoma Kamwe

1

Kristo mwenye mwili, Mwenyezi Mungu,

akionyesha ukweli,

abubujikwa na utukufu,

Ameonekana Mashariki.

Maneno ya Mungu yanaangaza kwa uzuri

katika ulimwengu na chumba cha mbinguni.

Umeme Mashariki

umeleta nuru katika ulimwengu huu wa giza.

Haraka, ndugu, njoo mtazame.

Ufalme unashuka duniani.

Haraka, akina dada, njooni msikilize

sauti za sifa kila mahali.

Kwa furaha watu wa Mungu wanakaribisha kurudi kwa Mwokozi!

2

Hukumu ya siku za mwisho

imeanza na familia ya Mungu.

Mungu ameonekana na kutuletea

njia ya uzima wa milele.

Kondoo Wake wameisikia sauti Yake

na kurudi mbele Yake,

wakafurahia maneno Yake katika

karamu ya harusi ya Mwanakondoo.

Haraka, ndugu, njoo mtazame.

Karamu ya ufalme ni tele.

Haraka, akina dada, njooni msikilize.

Maneno ya Mungu yana mamlaka.

Maneno ya Mungu yameishinda mioyo ya mamilioni!

3

Kwa nini ndugu zetu

huimba kwa sifa ya furaha?

Ni kwa sababu Mwenyezi Mungu

ametuokoa kutoka kwa Shetani.

Hukumu ya maneno ya Mungu

imetusafisha na kutuokoa.

Tukiandamana na maneno ya Mungu,

hatutasikia tena uchungu au huzuni.

Haraka, ndugu, simameni.

Sote tumshuhudie Mungu.

Haraka, akina dada, msikome.

Tutoeni mioyo yetu kumpendeza Mungu.

Acha tujitolee vyote vyetu katika kutekeleza wajibu wetu.

Ndugu, njooni tuchezee hadi mioyo yetu iridhihke,

kumsifu Mwenyezi Mungu kwa utukufu Aliopata.

Mungu amefanyiza washindi, wamemshinda Shetani.

Tunaimba sifa za furaha kwa Mungu kwa ushindi Wake.

Imbeni nyimbo mpya, ndugu,

sauti zetu husikika kila mahali.

Chezeni, akina dada, tunapoimba kwa mioyo yetu yote kwa sifa,

tukiimba sifa zisizo na mwisho za Mwenyezi Mungu.

Iliyotangulia: 40 Mwimbie Mungu Nyimbo za Sifa Milele

Inayofuata: 42 Sifu Kukamilika kwa Kazi Kuu ya Mungu

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp