151 Kukusanyika katika Sayuni

1

Kristo wa siku za mwisho huonyesha ukweli,

akionekana hapa duniani huko Mashariki.

Watu wote wanamsujudia na kumwabudu.

Sauti zote zinaimba kwa sifa.

Ulimwengu utarejeshwa.

Dunia nzima imejawa

na sifa na haki Yake.

Kwa maana imekuwa mbingu na dunia ya Mungu.

Ee Sayuni! Ee Sayuni! Makaazi ya Mungu,

mahali pazuri na penye furaha.

Kukusanyika pamoja ni furaha sana.

Furahia furaha isiyo na mwisho ya familia.

2

Uso wa Mungu, kama chemichemi, unatabasamu kwa furaha.

Siku ya Mungu imewadia.

Angani, mawingu meupe yote yanamkaribisha,

kwa kuwa katika ushindi Anarejea.

Moyo wa Mungu umejaa furaha.

Yeye ana utulivu na kuguswa kwa kina.

Mungu amerejea katika makao Yake,

Anaonja joto la familia tena.

Ee Sayuni! Ee Sayuni! Makaazi ya Mungu,

mahali pazuri na penye furaha.

Kukusanyika pamoja ni furaha sana.

Furahia furaha isiyo na mwisho ya familia.

3

Utukufu wa Mungu unainuka na kuangaza.

Milima ina furaha, maji yanacheka.

Jua na mwezi na nyota karibu

vinajipanga kumlaki Mungu.

Anakamilisha mpango wa miaka elfu sita,

na Amerudi kwa ushindi.

Tunashangilia na kuruka kwa furaha.

Mungu anatawala juu ya dunia. Oo ~

Ee Sayuni! Ee Sayuni! Makaazi ya Mungu,

mahali pazuri na penye furaha.

Kukusanyika pamoja ni furaha sana.

Furahia furaha isiyo na mwisho ya familia.

Ee Sayuni! Ee Sayuni! Makaazi ya Mungu,

mahali pazuri na penye furaha.

Kukusanyika pamoja ni furaha sana.

Furahia furaha isiyo na mwisho ya familia.

Iliyotangulia: 150 Mwenyezi Mungu, Moyo Wangu ni Wako

Inayofuata: 152 Wimbo wa Upendo Mtamu

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp