136 Natamani Ningekuwa na Mungu Kila Siku

1

Siku ile Uliyotuacha, Ulikuwa na tabasamu usoni Mwako.

Ulitupungia mkono kwaheri. Na kwa huzuni tulikutazama Ukienda.

Nilijua kwamba makanisa yalikuhitaji, hivyo singekushikilia.

Niliutazama mgongo Wake alipokuwa Akitembea na kutokomea, ningehifadhi Ulichoniaminia.

Kila ninapokuwa mnyonge, nafikiri kuhusu gharama Uliyolipa.

Upendo Wako wa kweli, maneno Yake yenye nguvu,

yanauchangamsha na kuupa joto moyo wangu, nahisi mdeni sana Kwako.

Najichukia kwa kuujali mwili wangu kupita kiasi, nikihisi asiyestahili kuja mbele Yako.

2

Kila ninapoufikiria upendo wa Mungu, moyo wangu unatiwa moyo mara dufu.

Nataka kuwa ubavuni mwa Mungu na kufanya wajibu wangu, na nahisi kuwa kimo changu ni kidogo sana.

Nitakua lini niwe mtu anayeweza kuwa ubavuni mwa Mungu na kumtumikia?

Nimeazimia kutenda neno la Mungu ili maisha yangu yakue haraka.

Mungu, nataka kuwa upande Wako na kukuambia siri zangu zote.

Nakumbuka tulipokuwa pamoja, na inaufanya moyo wangu kufurahi.

Unaishi kwa unyenyekevu mbele ya wanadamu, na kututolea ukweli na uzima.

Tunakutazamia Wewe na tunataka kuwa na Wewe.

Iliyotangulia: 135 Kumtamani Mungu

Inayofuata: 137 Nitampenda Mungu Milele

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

418 Umuhumi wa Maombi

Sala ni mojawapo ya njia ambazo mwanadamu hutumia kushirikiana na Mungu, ni njia ambayo mwanadamu hutumia kumwita Mungu, na ni mchakato...

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp