30 Shukrani na Sifa kwa Mwenyezi Mungu

1

Tumeisikia sauti ya Mungu.

Tumeletwa mbele ya Mungu.

Maneno Yake tunakula na kunywa.

Tunaelewa ukweli anaonena Mungu.

2

Mila za dini, tumezitupa, minyororo yote.

Isiyozuiliwa na sheria, mioyo yetu inawekwa huru.

Na sisi tunafurahi iwezekanavyo, tukiishi katika nuru ya Mungu,

kufurahi iwezekanavyo, kuishi katika nuru ya Mungu.

Shukrani na sifa kwa Mwenyezi Mungu,

anayeonyesha ukweli kuwaokoa wanadamu.

Shukrani na sifa kwa Mwenyezi Mungu,

tuna njia ya kubadilika, na imani yetu isiyo dhahiri inapungua.

3

Tunamfuata Mungu kwa karibu,

mafunzo ya ufalme tunayakubali.

Hukumu za Mungu ni kama upanga,

ikifunua mawazo tuliyo nayo.

4

Kiburi na ubinafsi,

na udanganyifu vyote vinafichuliwa.

Hapo tu ndipo ninaona ukweli wangu.

Kwa aibu ninamwangukia Mungu, nimefichuliwa.

Shukrani na sifa kwa Mwenyezi Mungu,

anayeonyesha ukweli kwa wanadamu wote.

Shukrani na sifa kwa Mwenyezi Mungu!

Sisi tuko uso kwa uso na Mungu,

na tunafurahia kuona uso Wake tukufu.

Shukrani na sifa (shukrani na sifa) kwa Mwenyezi Mungu,

Wewe ni mtakatifu, Wewe ni mwenye haki.

Tamanio langu ni kutenda ukweli (kutenda ukweli),

kuacha mwili, kuzaliwa upya (kuzaliwa upya), kuufaraji moyo Wako.

Shukrani na sifa kwa Mwenyezi Mungu,

hukumu Yako imeniokoa kweli.

Shukrani na sifa kwa Mwenyezi Mungu,

tabia yangu imebadilika.

Kwa sababu Yako, nimebarikiwa.

Iliyotangulia: 29 Ufalme wa Mungu Umetimizwa

Inayofuata: 31 Watu Wote wa Mungu Wamsifu Kikamilifu

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp