80 Kulipiza Upendo wa Mungu na Kuwa Shahidi Wake

1

Kwa unyenyekevu Mungu alipata mwili kuwaokoa wanadamu,

akiongoza kila hatua, akitembea miongoni mwa makanisa,

akionyesha ukweli, akijitahidi kumnyunyizia mwanadamu,

akimtakasa na kumkamilisha.

Nimeonja uchungu wa majaribio

na kupitia hukumu ya Mungu.

Matamu yanafuata machungu,

na upotovu wangu umetakaswa.

Natoa moyo wangu, natoa mwili wangu

kulipiza upendo wa Mungu, kulipiza upendo wa Mungu.

2

Ameyaona majira mengi ya kuchipua, ya joto,

ya kupukutika na ya baridi, akiyachukua machungu na matamu.

Anatoa yote bila kuwahi kujuta,

Ametoa upendo Wake wote bila ubinafsi.

Nimeonja uchungu wa majaribio

na kupitia hukumu ya Mungu.

Matamu yanafuata machungu,

na upotovu wangu umetakaswa.

Natoa moyo wangu, natoa mwili wangu

kulipiza upendo wa Mungu, kulipiza upendo wa Mungu.

3

Wapendwa wameniacha, wengine wamenikashifu.

Lakini nitampenda Mungu bila kuyumbayumba hadi mwisho.

Nimejitolea kabisa kufuata mapenzi ya Mungu.

Ninavumilia mateso na taabu,

nikipitia mema, nikipitia mabaya.

Haijalishi kwamba navumilia haya maishani,

haijalishi kwamba maisha yangu yamejaa machungu.

Lazima nimfuate Mungu na kumshuhudia Yeye.

Nimeonja uchungu wa majaribio

na kupitia hukumu ya Mungu.

Matamu yanafuata machungu,

na upotovu wangu umetakaswa.

Natoa moyo wangu, natoa mwili wangu

kulipiza upendo wa Mungu, kulipiza upendo wa Mungu.

Iliyotangulia: 79 Mwenyezi Mungu, Mpendwa Wetu

Inayofuata: 81 Ee Mungu! Siwezi Kuwa Bila Wewe

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

418 Umuhumi wa Maombi

Sala ni mojawapo ya njia ambazo mwanadamu hutumia kushirikiana na Mungu, ni njia ambayo mwanadamu hutumia kumwita Mungu, na ni mchakato...

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp