Programu ya Kanisa la Mwenyezi Mungu

Sikiliza sauti ya Mungu na ukaribishe kurudi kwa Bwana Yesu!

Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.

Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

(Ma)tokeo ya Kutafuta 0

Hakuna matokeo yaliyopatikana

Ee Mungu, Siwezi kuwa bila Wewe

Ni Wewe unayenileta mbele Yako.

Ni maneno Yako matamu, ni upendo Wako wa upole,

Upendo Wako unaofurahisha sana, ndio unashikilia moyo wangu sana,

ambao unafanya moyo wangu kukupenda Wewe kutoka siku hii na kuendelea.

Ee … Moyo wangu unakufikiria kukuhusu Wewe kila wakati.

Ee … Moyo wangu unakufikiria kukuhusu Wewe kila wakati.

Nimekupenda Wewe zaidi.

Hakuna maneno ya mwanadamu yanayostahili.

Uso Wako unaopendeza unanifanya nikupende Wewe.

Maneno Yako ya joto yananifanya nikupende.

Kupogoa, kushugulikiwa, kufundishwa nidhamu, na kupata nuru

vinanileta kupata uzoefu wa upendo Wako hata zaidi.

Na ee … Siwezi kuwa bila Wewe.

Ee … Siwezi kuwa bila Wewe.

Ee Mungu! Kweli unapendeza. Matendo Yako ya hekima yananifurahisha sana.

Ingawa leo uchungu unausafisha moyo wangu kwa kupitia majaribu,

Sijuti kukupenda Wewe.

Ee Mungu! Acha nikupende Wewe jinsi ninavyoweza.

Najiwasilisha kwa mipango Yako. Najiwasilisha bila kulalamika.

Nitafanya niwezalo kukuridhisha Wewe, kwani nakupenda sana.

Ingawa majaribu ni makali sana na sijui yataisha lini,

Nimejawa na imani Kwako.

Mradi tu nikufurahishe, niko tayari kupitia hata kuadibiwa.

Ee … upendo wangu Kwako hautabadilika kamwe.

Ee … upendo wangu Kwako hautabadilika kamwe.

Ee … Siwezi kuwa bila Wewe.

Ee Mungu, Siwezi kuwa bila Wewe.

Iliyotangulia:Toba

Inayofuata:Kumtamani Sana Mungu

Maudhui Yanayohusiana