Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.

Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

(Ma)tokeo ya Kutafuta 0

Hakuna matokeo yaliyopatikana

194 Pingu

1

Najali sana hadhi yangu katika mioyo ya wengine.

Napenda kuheshimiwa na wengine na nafurahia kuonwa mkuu.

Nastahimili aibu na nafanya kazi kwa bidii kujiendeleza mbele na kuwatawala wengine.

Na hili limekuwa pingu zangu, zikinifunga kila wakati.

2

Nimemwamini Mungu kwa miaka mingi lakini bado natafuta kuwatala wengine na napenda kujionyesha.

Niliyejaa majivuno, nahubiri nadharia za kiroho kuwatega na kuwadanganya wengine.

Mnafiki sana, niliikosea tabia ya Mungu zamani na Mungu alinichukia na kunikataa.

Nilianguka gizani na kuonja kwa kina uchungu wa kufungwa na umaarufu na utajiri.

3

Maneno ya Mungu huuchoma moyo wangu kama upanga wenye makali kuwili,

yakiweka asili yangu wazi na kufunua ubaya katika roho yangu.

Naona kuwa kiburi na kujidai, na tamaa ya mamlaka, imekuwa asili yangu.

Kung’ang’ania nafasi kwa njia yoyote iwezekanayo, nilipoteza dhamiri na mantiki yangu.

4

Kristo ni mkuu na mheshimiwa, lakini Yeye ni mnyenyekevu na kamwe hajidai.

Mimi ni mavumbi, duni na nisiye muhimu, na bado najistahi na mwenye kujidai.

Kujua kwamba tabia ya Mungu ni ya haki, takatifu na ya kupendeka, sina popote pa kuficha aibu yangu.

Nahisi kwa kina jinsi nilivyo mpotovu, na sifanani kabisa na mwanadamu.

5

Nikipitia hukumu ya maneno ya Mungu, naanguka mbele za Mungu.

Nimekusudia kufuatilia ukweli, kuwa mtu mpya na kuufariji moyo wa Mungu.

Kwa kuunyima mwili wangu na kutenda ukweli, tabia yangu ya kishetani inasafishwa.

Hukumu na kuadibu kwa Mungu vimeniokoa, namshukuru na kumsifu Mungu!

Iliyotangulia:Wimbo wa Onyo Jema

Inayofuata:Sifa kwa Mungu Kutoka kwa Kizazi cha Moabu

Maudhui Yanayohusiana

 • Mradi tu Usimwache Mungu

  Upendo na huruma za Mungu hupenyeza katika kila sehemu ya kazi ya usimamizi Wake, na bila kujali kama watu wanaweza kuelewa nia njema za Mungu, bado …

 • Umuhimu wa Mungu Kumsimamia Binadamu

  Usimamizi wa Mungu ni ili kuwapata binadamu wanaomwabudu na kumtii Yeye. Ingawa wamepotoshwa na Shetani, hawamwiti baba tena, hawamwiti baba tena. 1 …

 • Toa Akili na Mwili ili Kutimiza Agizo la Mungu

  I Kama washiriki wa jamii ya wanadamu, kama wafuasi wa Kristo wa dhati, ni wajibu wetu, jukumu letu kutoa akili zetu na miili yetu kwa kutimiza agizo …

 • Umuhumi wa Maombi

  1 Maombi ni njia moja ya mwanadamu kishirikiana na Mungu, kuita Roho Wake na kuguswa na Mungu. Kadiri unavyoomba zaidi, ndivyo utakavyoguswa zaidi, ku…