Uangalie ufalme wa Mungu, ambako Mungu anatawala juu ya yote.Kutoka wakati uumbaji ulipoanza mpaka siku ya sasa,wana wa Mungu waliongozwa wakipitia taabu.Katika milima na mabonde walienda. Lakini sasa katika nuru Yake wa…
Safi na mwaminifu kama mtoto, asiye na hatia na mchangamfu, aliyejawa na nguvu za ujana,wao ni kama malaika wanaokuja ulimwenguni.Hakuna uongo, udanganyifu au hadaa, na moyo ulio wazi na mwaminifu, wanaishi na heshima.Wa…
ITumeletwa mbele ya Mungu. Maneno Yake tunakula na kunywa.Roho Mtakatifu anatupa nuru, tunaelewa ukweli anaonena Mungu.Mila za dini, tumezitupa, minyororo yote. Isiyozuiliwa na sheria, mioyo yetu inawekwa huru.Na sisi tu…
Ingawa tumetengwa na maziwa na milima isiyohesabika,sisi tuko pamoja, bila mipaka kati yetu,tukiwa na rangi tofauti za ngozi na kuzungumza ndimi tofauti.Kwa sababu maneno ya Mwenyezi Mungu yanatuita,tunainulia juu mbele …
INilitaka kulia lakini hakuna mahali palihisi sawa.Nilitaka kuimba lakini hakuna wimbo ulipatikana.Nilitaka kuonyesha upendo wa kiumbe aliyeumbwa.Nikitafuta juu na chini, lakini hakuna maneno yangeweza kusema,yangeweza k…
Ha … nyimbo ni nyingi na ngoma ni za madaha;ulimwengu na miisho ya dunia zinakuwa bahari inayosisimka.Ha … mbingu ni mpya na dunia ni mpya.Eneo kubwa la ulimwengu limejaa kusifu; tunapiga ukelele na kuruka kwa shangwe.Mi…