Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.

Neno Laonekana katika Mwili

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

(Ma)tokeo ya Kutafuta 0

Hakuna matokeo yaliyopatikana

Sura ya 27

Mungu mmoja wa kweli anayetawala vitu vyote katika ulimwengu—Kristo mwenyezi! Huu ndio ushuhuda wa Roho Mtakatifu, ni ushahidi dhahiri! Roho Mtakatifu anafanya kazi kuwa na ushuhuda kila mahali, ili kusiwe na mtu yeyote mwenye shaka yoyote. Mfalme wa ushindi, Mwenyezi Mungu! Yeye ameushinda ulimwengu, Ameishinda dhambi na kufanikisha ukombozi! Anatuokoa, kundi hili la watu ambao wamepotoshwa na Shetani, na Anatukamilisha kutekeleza mapenzi Yake. Anatawala dunia nzima, Anaichukua tena na kumfukuza Shetani hadi ndani ya shimo lisilo na mwisho. Anauhukumu ulimwengu, na hakuna mtu anayeweza kukwepa kutoka mikononi Mwake. Anatawala kama Mfalme.

Dunia nzima inafurahia! Inamtukuza Mfalme mshindi—Mwenyezi Mungu! Milele na milele! Unastahili heshima na sifa. Mamlaka na utukufu viwe kwa Mfalme mkuu wa ulimwengu!

Muda ni mfupi, fuata nyayo za Mwenyezi Mungu na uendelee mbele. Nenda kwa uangalifu mkubwa, uwe mwenye huruma kwa mzigo Wake na ugharimike mwenyewe kwa ajili ya mpango Wake wa usimamizi kwa makubaliano na Yeye. Lazima usihifadhi mali zako, na hakuna muda mwingi. Zitoe! Usiziweke! Zitoe! Usiziweke!

Iliyotangulia:Sura ya 26

Inayofuata:Sura ya 28

Maudhui Yanayohusiana

 • Je, Wewe Ni Muumini wa Kweli wa Mungu?

  Huenda ikawa safari yako ya imani katika Mungu imekuwa ndefu zaidi ya mwaka mmoja au miwili, na labda kwa maisha yako umestahimili ugumu mwingi miaka…

 • Njia … (3)

  Katika maisha Yangu, Niko radhi kila mara kujitolea Mwenyewe kwa Mungu kabisa, mwili na fikra. Kwa njia hii, hakuna lawama kwa dhamiri Yangu na Nawez…

 • Njia … (2)

  Labda ndugu zetu wana muhtasari kidogo wa utaratibu, hatua, na mbinu za kazi ya Mungu katika China bara, lakini Mimi huhisi kila mara kwamba ni heri …

 • Kuhusu Kila Mmoja Kutekeleza Wajibu Wake

  Katika mkondo wa sasa, kila mtu anayempenda Mungu kwa kweli ana fursa ya kukamilishwa na Yeye. Bila kujali kama yeye ni kijana au mzee, mradi tu anat…