Swahili Christian Movie "Ujinga Angamizi" | Why Can’t Foolish Virgins Enter the Kingdom of Heaven?

16/08/2018

Zheng Mu'en ni mfanyakazi mwenza katika kanisa la Kikristo nchini Marekani, amemwamini Bwana kwa miaka mingi, na anafanya kazi kwa bidii na humtumia Bwana. Siku moja, shangazi yake anashuhudia kwake kwamba Bwana Yesu amerudi kuonyesha ukweli na kufanya kazi ya kumhukumu na kumtakasa mtu katika siku za mwisho, habari ambazo zinampendeza sana. Baada ya kusoma neno la Mwenyezi Mungu na kutazama filamu na video za Kanisa la Mwenyezi Mungu, moyo wa Zheng Mu'en unathibitisha kuwa maneno ya Mwenyezi Mungu ni ukweli, na kwamba Mwenyezi Mungu huenda akawa ndiye kurudi kwa Bwana Yesu, hivyo anaanza kuchunguza kazi ya Mungu katika siku za mwisho pamoja na ndugu zake. Lakini Mchungaji Ma, kiongozi wa kanisa lake, anapoona hili, anajaribu mara kwa mara kuingilia kati na kumzuia Zheng Mu'en. Anamwonyesha Zheng Mu'en video ya propaganda ya serikali ya CCP ambayo hutukana na kulaani Umeme wa Mashariki katika jaribio la kumfanya Zheng Mu'en aache uchunguzi wake wa njia ya kweli, na video hii inamfanya achanganyikiwe sana: Bila shaka Anaweza kuona kwamba maneno ya Mwenyezi Mungu ni ukweli na sauti ya Mungu, kwa nini wachungaji na wazee wa ulimwengu wa dini wanamlaani Mwenyezi Mungu? Wao wenyewe hawakatai kutafuta au kuchunguza pekee, ila pia wanajaribu kuwazuia wengine kukubali njia ya kweli. Kwa nini hili linatokea? ... Zheng Mu'en anaogopa kudanganywa na kuchukua njia isiyo sahihi, lakini pia anaogopa kupoteza nafasi yake ya kunyakuliwa. Katikati ya mapambano na kuchanganyikiwa kwake, Mchungaji Ma anatoa propaganda mbaya zaidi kutoka kwa CCP na ulimwengu wa dini, vikisababisha mashaka mengi zaidi katika moyo wa Zheng Mu'en. Anaamua kusikiliza Mchungaji Ma na kukata tama katika uchunguzi wake wa njia ya kweli. Baadaye, baada ya kusikia ushuhuda na ushirika kutoka kwa mashahidi wa Kanisa la Mwenyezi Mungu, Zheng Mu'en anaelewa kuwa katika kuchunguza njia ya kweli, kanuni kuu ya msingi ni kuamua kama njia ina ukweli na kama inachoonyesha ni sauti ya Mungu. Mtu yeyote anayeweza kuonyesha ukweli mwingi hakika ni kuonekana kwa Kristo, kwa sababu hakuna mmoja wa wanadamu wanyonge anayeweza kuonyesha ukweli. Huu ni ukweli usiopingika. Mtu asipolenga kusikia sauti ya Mungu anapochunguza njia ya kweli, na badala yake asubiri kushuka kwa Bwana Yesu juu ya mawingu meupe kulingana na mawazo yake, hataweza kamwe kukaribisha kuonekana kwa Mungu. Zheng Mu'en hatimaye anaelewa siri ya wanawali wenye busara kusikia sauti ya Mungu iliyozungumzwa na Bwana Yesu, anaamua kutoamini tena uongo na nadharia za upuuzi wa serikali ya CCP na wachungaji na wazee wa ulimwengu wa kidini, na huepuka vikwazo na utumwa wa mchungaji wake wa dini. Zheng Mu'en anapitia kwa kina shida ya kuchunguza njia ya kweli. Bila utambuzi au kutafuta ukweli, hakuna njia ya kusikia sauti ya Mungu au kunyakuliwa mbele ya kiti cha enzi cha Mungu. Badala yake, mtu anaweza kudanganywa na kudhibitiwa na Shetani na kufa katika wavu wa Shetani, ambayo hutimiza kabisa maneno yaliyomo katika Biblia, "Watu wangu wanateketezwa kwa ajili ya ukosefu wa maarifa" (Hosea 4:6). "Wapumbavu hukufa kwa ajili ya ukosefu wa hekima" (Mithali 10:21).

Baadhi ya taarifa katika video hii zinatoka kwa: www.stockfootage.com

Tazama zaidi

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Leave a Reply

Shiriki

Ghairi

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp