5 Mwenyezi Mungu Ameonekana Mashariki ya Dunia

1

Mwokozi amerejea juu ya wingu jeupe

kama Mwenyezi Mungu, Kristo wa siku za mwisho.

Anaonyesha ukweli kumhukumu na kumtakasa mwanadamu,

Akiikaribisha Enzi ya Ufalme.

Hukumu inaanza na nyumba ya Mungu,

ikifichua tabia ya Mungu yenye haki.

Akiwa amejaa ghadhabu na uadhama,

Anaonekana Mashariki.

Mwenyezi Mungu ameonekana Mashariki ya dunia.

2

Sisi ni udhuru wa joka kubwa jekundu,

tuna bahati kuinuliwa mbele za Mungu.

Kupata wokovu katika siku za mwisho

kweli ni uinuaji na neema Yake.

Ni nani aliye na bahati au baraka kuliko sisi?

Mungu ametuinua kutoka kwenye lundo la samadi,

na Anatuokoa kutoka katika ushawishi wa Shetani.

Mwenyezi Mungu ameonekana Mashariki ya dunia.

3

Kupata mwili kwa Mungu ni nadra sana,

Anakuja Mwenyewe kufanya kazi na kuongoza.

Tunafurahia maneno ya Mungu kila siku ya kuishi.

Katika kuelewa ukweli, roho zetu zina utulivu.

Kukubali kuhukumiwa, uso kwa uso na Mungu,

upotovu unatakaswa, tuna mfano wa binadamu.

Kumfuata Mungu na kumshuhudia ni

baraka yetu kubwa.

Mwenyezi Mungu ameonekana Mashariki ya dunia.

4

Maneno ya Mungu yana nguvu na mamlaka,

yanashinda na kufanyiza washindi.

Ukweli unashikilia ushawishi duniani,

na siku za Mungu hakika zimekuja.

Majanga makubwa yanauharibu ulimwengu wa zamani,

haki ya Mungu inafichuliwa.

Nguvu zote ovu zinafutwa,

Ufalme wa Mungu unakuja duniani.

Mwenyezi Mungu ameonekana Mashariki ya dunia.

Mwenyezi Mungu ameonekana Mashariki ya dunia.

Iliyotangulia: 4 Mwenyezi Mungu, Kristo wa Siku za Mwisho

Inayofuata: 6 Kristo wa Siku za Mwisho, Wokovu wa Mwanadamu

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

418 Umuhumi wa Maombi

Sala ni mojawapo ya njia ambazo mwanadamu hutumia kushirikiana na Mungu, ni njia ambayo mwanadamu hutumia kumwita Mungu, na ni mchakato...

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp