42 Ufalme Wa Kristo Ni Nyumbani Kwenye Joto

1

Ufalme wa Kristo ni nyumbani kwangu kwenye joto.

Ni kwa watu wote wa Mungu.

Kristo anatembea na kunena katika kanisa.

Kristo anatembea na kuishi miongoni mwetu.


Hukumu ya maneno ya Mungu iko hapa,

kama ilivyo kazi ya Roho Mtakatifu.


Maneno ya Mungu yanaturuzuku na kutuongoza.

Maneno ya Mungu husaidia maisha yetu kukua.

Hii ni dunia yenye haki inayotawaliwa na Kristo.

Ufalme wa Kristo ni nyumbani kwenye joto, ni myumbani kwenye joto.

2

Ufalme wa Kristo ni nyumbani kwangu kwenye joto.

Ni wa thamani sana kwa watu wa Mungu.

Maneno ya Mungu yanatawala kanisani.

Tunatenda kwa ukweli, tunamtukuza mioyoni mwetu.


Hakuna tena mapambano makali.

Hakuna haja ya ulinzi ama hofu.


Kristo ndiye mahali pa pumziko pa roho ya mwanadamu.

Sihitaji kuzurura tena.

Huu ni ufalme wa Kristo ambao watu wanatamani.

Ufalme wa Kristo ni nyumbani kwenye joto, ni nyumbani kwenye joto.

3

Ufalme wa Kristo ni nyumbani kwangu kwenye joto.

Watu wote wa Mungu wanauthamini.

Hapa napitia majaribu ya Mungu.

Yanatakasa tabia yangu potovu.


Kristo wa siku za mwisho, Wewe ni mpendwa wetu.

Tutakupenda na kukusifu milele.

Maneno ya Mungu yapo hapa kama ilivyo kazi ya Roho Mtakatifu.

Ufalme wa Kristo ni nyumbani kwenye joto, ni nyumbani kwenye joto.


Hadithi ya kukua kwangu maishani iko hapa,

Maneno yangu ya upole kwa Mungu yako hapa.

Kumbukumbu zangu zinarekodi gharama anayolipa Mungu.

Kila kitu hapa kinanigusa.

Upendo wa kweli uko hapa,

na maneno hayawezi kuonyesha wala kusema.

Ufalme wa Kristo ni nyumbani kwenye joto.

Ufalme wa Kristo ni nyumbani kwenye joto.

Ufalme wa Kristo ni nyumbani kwenye joto, ni nyumbani kwenye joto.

Iliyotangulia: 41 Maisha yetu Ni Furaha Isiyo na Mwisho

Inayofuata: 43 Maisha Ya Kanisa Ni Ya Kupendeza Sana

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?
Wasiliana Nasi
Wasiliana nasi kupitia WhatsApp

Maudhui Yanayohusiana

83 Upendo wa Kweli

1 Namrudia Mungu na kuuona uso Wake upendezao, nikiwa huru kutokana na udhibiti wa kaida za dini. Neno Lake linanijaza na raha na furaha...

269 Nitampenda Mungu Milele

1 Ee Mungu! Maneno Yako yananiita nirudi Kwako. Nakubali kufundishwa katika ufalme Wako mchana na usiku. Mara nyingi sana nilikuwa dhaifu...

84 Umuhumi wa Maombi

1 Maombi ni njia moja ya mwanadamu kishirikiana na Mungu, kuita Roho Wake na kuguswa na Mungu. Kadiri unavyoomba zaidi, ndivyo...

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki