186 Nimeona Moyo wa Mungu Ndio Unaopendeza na Karimu Zaidi

1

Tunainuliwa juu mbele ya Mungu, mioyo yetu inaongezwa utamu kwa kufurahia maneno ya Mungu.

Kweli tunafurahia kuhudhuria karamu ya Mungu, kwa kweli ni baraka kuu zaidi ya Mungu.

Maneno ya Mungu ya hukumu ni kama upanga mkali unaoifunua roho yangu ovu.

Tunatumikia Mungu ili tu tupate Baraka Zake, na sina dhamiri au akili.

Nimeona kuwa nimepotoshwa sana, na sina mfanano wa binadamu.

Nikiwa nimejawa majuto, natubu mbele za Mungu na kumwomba Anisamehe na Anionee huruma.

Mungu hanitendei mimi kulingana na makosa yangu, Yeye kwa upole anangoja nirudi Kwake.

Nimeona kuwa tabia ya Mungu ni yenye haki na takatifu, moyo wangu unamcha na kumtii.

2

Najinyamazisha mbele ya Mungu na kutafuta ukweli, na naelewa nia nzuri za Mungu.

Haijalishi kama Mungu anahukumu ama mwenye huruma, yote yanafanywa ili kusafisha na kumwokoa mwanadamu.

Nimekubali hukumu ya maneno ya Mungu na kupitia majaribu na usafishaji.

Nimepitia uchungu mwingi sana, upotovu wangu umetakaswa; huu wote ni wokovu wa Mungu.

Naona kuwa tabia ya Mungu ni ya kupendeza sana, na kuwa moyo wa Mungu ni mzuri na mkarimu.

Niko tayari kutii mbele ya Mungu, moyo wangu una furaha na mtamu.

Kuwa mtu mwaminifu na kukubali ukweli ni kubarikiwa na Mungu.

Natamani kupata ukweli, kuokolewa na Mungu, na kuishi kwa kudhihirisha mfanano wa binadamu kumtukuza Mungu.

Iliyotangulia: 185 Nimemwona Mungu

Inayofuata: 187 Nitalipa Upendo wa Mungu

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

418 Umuhumi wa Maombi

Sala ni mojawapo ya njia ambazo mwanadamu hutumia kushirikiana na Mungu, ni njia ambayo mwanadamu hutumia kumwita Mungu, na ni mchakato...

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp