516 Kubali Neno la Mungu ili Uwe na Uzoefu wa Kina

Kadiri watu wanavyokubali maneno ya Mungu zaidi, ndivyo wanavyopata nuru zaidi, na ndivyo wanavyokuwa na njaa na kiu zaidi katika kufuatilia kwao kumjua Mungu. Ni wale tu wanaoyakubali maneno ya Mungu ndio wanaoweza kuwa na uzoefu mkuu na wa kina zaidi, na wao pekee ndio ambao maisha yao yanaweza kuendelea kukua kama maua ya ufuta. Wote wanaofuatilia maisha wanapaswa kuchukulia hili kama kazi yao ya wakati wote; wanapaswa kuhisi kwamba “bila Mungu, siwezi kuishi; bila Mungu, siwezi kutimiza chochote; bila Mungu, kila kitu ni tupu.” Vile vile pia, wanapaswa kuwa na azimio kwamba “bila uwepo wa Roho Mtakatifu, sitafanya chochote, na ikiwa kuyasoma maneno ya Mungu hakuna matokeo basi sijali kufanya chochote.” Msijifurahishe. Uzoefu wa maisha hutoka kwa nuru na mwongozo wa Mungu, na ndilo dhihirisho la juhudi zenu za nafsi. Mnachopaswa kuhitaji kutoka wenyewe kufanya ni: “Inapokuja kwa suala la uzoefu wa maisha, siwezi kujipa uhuru wa kufanya nipendavyo.”

Umetoholewa kutoka katika “Jinsi ya Kuingia Katika Hali ya Kawaida” katika Neno Laonekana katika Mwili

Iliyotangulia: 515 Tafuta Ukweli ili Kutatua Matatizo Yako

Inayofuata: 517 Tafuta Ukweli katika Vitu Vyote ili Kuendelea Mbele

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

418 Umuhumi wa Maombi

Sala ni mojawapo ya njia ambazo mwanadamu hutumia kushirikiana na Mungu, ni njia ambayo mwanadamu hutumia kumwita Mungu, na ni mchakato...

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp