155 Mataifa Yote Njooni kwa Mwangaza Wenu

1

Unafungua kumbatio Lako pana

kumpapasa mwanadamu katika kupiga kite kwake,

Unaipunga mikono Yako yenye nguvu na kujali,

na macho Yako yenye mwanga yanang’aa!

Na upendo Wako na rehema vinatushikilia kwa uthabiti,

na uso Wako mtukufu unaonekana.

Katika dunia hii iliyopotoka muda mrefu,

sasa miale Yako ya mwanga iko hapa.

Na dunia yetu inakufa, iliyoanguka na yenye uovu,

na inamlilia Mwokozi aje tena.

Unaleta matumaini kwa binadamu wote,

na mwisho wa milenia mbili za kungoja!

2

Unafungua kumbatio Lako pana

kumpapasa mwanadamu katika kupiga kite kwake,

Unaipunga mikono Yako yenye nguvu na kujali,

na macho Yako yenye mwanga yanang’aa!

Na dunia yetu inakufa, iliyoanguka na yenye uovu,

na inamlilia Mwokozi aje tena.

Na dunia yetu inakufa, iliyoanguka na yenye uovu,

na inamlilia Mwokozi aje tena.

Unaleta matumaini kwa binadamu wote,

na mwisho wa milenia mbili za kungoja!

Njooni, mataifa yote, njooni kwa mwanga Wenu,

kuwekwa huru kutoka kwa kutumikisha kwa yule mwovu.

Kutoka gizani, tutakuwa huru milele,

huru kupiga unyende tukisema “Jina Lako takatifu lisifiwe hadi milele!”

Njooni, mataifa yote, njooni kwa mwanga Wenu,

kuwekwa huru kutoka kwa kutumikisha kwa yule mwovu.

Kutoka kwa giza, tutakuwa huru milele,

huru kupiga unyende tukisema “Jina Lako takatifu lisifiwe hadi milele!”

Iliyotangulia: 154 Mpenzi Wangu, Tafadhali Nisubiri

Inayofuata: 156 Upendo Wangu kwa Mungu Hautabadilika Kamwe

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

418 Umuhumi wa Maombi

Sala ni mojawapo ya njia ambazo mwanadamu hutumia kushirikiana na Mungu, ni njia ambayo mwanadamu hutumia kumwita Mungu, na ni mchakato...

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp