Programu ya Kanisa la Mwenyezi Mungu

Sikiliza sauti ya Mungu na ukaribishe kurudi kwa Bwana Yesu!

Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.

Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

(Ma)tokeo ya Kutafuta 0

Hakuna matokeo yaliyopatikana

99. Upendo Wangu Kwa Mungu Hautabadilika Kamwe

I

Katika mwili mnyenyekevu wa mwanadamu, Anafanya kazi kwa uvumilivu,

lakini upendo wa mwanadamu ni mgumu kupata.

Kupitia maisha ya shida,

nani anaweza kujua ni uchungu gani Anaopitia,

kuzurura katika upepo na mvua.

Amenena maneno yasiyohesabika na kuwa na wasiwasi mwingi moyoni Mwake.

Kwa miongo, Amekuwa akifanya bidii yote kumwokoa mwanadamu.

Hata majaribu na dhiki yawe makubwa vipi,

kumpenda Mungu ndilo jambo la maana sana.

Maneno Yake yanaushinda moyo wangu na

ridhaa yangu kumfuata haitikisiki.

Maneno Yake yamenikamilisha

na upendo wangu kwa Mungu hautabadilika kamwe.

II

Kupitia neno la Mungu,

Naelewa ukweli na najua jinsi ya kuwa.

Nikiwa na maneno ya Mungu, nimeng’amua kila kitu.

Ukweli Wake ni wa thamani zaidi, na yenye thamani isiyopimika.

Nitauelewa moyo wa Mungu na upendo wa Mungu lini,

ili niweze kumfariji kidogo?

Hata majaribu na dhiki yawe makubwa vipi,

kumpenda Mungu ndilo jambo la maana sana.

Maneno Yake yanaushinda moyo wangu na

ridhaa yangu kumfuata haitikisiki.

Maneno Yake yamenikamilisha

na upendo wangu kwa Mungu hautabadilika kamwe.

III

Natoa moyo wangu kwa Mungu na kulipia upendo Wake.

Naahidi uaminifu kwa Mungu alimradi nina uhai.

Nitatimiza wajibu wangu kwa uaminifu

na kuvumilia mateso ya mwisho ili kushuhudia na kumtukuza Mungu.

Maneno Yake yanaushinda moyo wangu na

ridhaa yangu kumfuata haitikisiki.

Maneno Yake yamenikamilisha

na upendo wangu kwa Mungu hautabadilika kamwe.

Hata majaribu na dhiki yawe makubwa vipi,

kumpenda Mungu ndilo jambo la maana sana.

Maneno Yake yanaushinda moyo wangu na

ridhaa yangu kumfuata haitikisiki.

Maneno Yake yamenikamilisha

na upendo wangu kwa Mungu hautabadilika kamwe.

Hata majaribu na dhiki yawe makubwa vipi,

kumpenda Mungu ndilo jambo la maana sana.

Maneno Yake yanaushinda moyo wangu na

ridhaa yangu kumfuata haitikisiki.

Maneno Yake yamenikamilisha

na upendo wangu kwa Mungu hautabadilika kamwe.

Iliyotangulia:Tuweze Kujua Uzuri wa Mungu

Inayofuata:Upendo wa Mungu Utukuke Milele na Milele

Maudhui Yanayohusiana