Kazi ya Hukumu ya Mungu katika Siku za Mwisho
 • 1 Hukumu ni nini?
 • 2 Wewe hushuhudia kuwa Mungu Mwenyezi huonyesha ukweli na hufanya kazi Yake ya hukumu ya siku za mwisho. Nadhani kuwa imani yetu katika Bwana Yesu na kukubali kazi ya Roho Mtakatifu inamaanisha kuwa tayari tumepitia kazi ya Mungu ya hukumu. Hapa kuna maneno ya Bwana Yesu kama ushahidi: “Nisipoenda, Mfariji hatakuja kwenu; lakini nikiondoka, nitamtuma kwenu. Na wakati atakuja, ataushutumu ulimwengu kuhusu dhambi, na kuhusu haki, na kuhusu hukumu” (Yohana 16:7-8). Tunaamini kwamba, ingawa kazi ya Bwana Yesu ilikuwa kazi ya ukombozi, baada ya kupaa mbinguni na siku ya Pentekoste, Roho Mtakatifu alishuka na kufanya kazi kwa wanadamu: “Ataushutumu ulimwengu kuhusu dhambi, na kuhusu haki, na kuhusu hukumu.” Inafaa kuwa kazi ya Mungu ya hukumu katika siku za mwisho, kwa hiyo ninachopenda kukifuatilia ni, ni nini hasa tofauti kati ya kazi ya hukumu katika siku za mwisho zinazofanywa na Mwenyezi Mungu na kazi ya Bwana Yesu?
 • 3 Ulishuhudia kuwa Bwana amerejea na hufanya kazi Yake ya hukumu akianza kwa nyumba ya Mungu katika siku za mwisho. Hili linaonekana kuwa tofauti na hukumu ya kiti cha enzi kikubwa cheupe katika Kitabu cha Ufunuo. Kile watu wengi katika dini wanachofikiria ni kwamba hukumu ya kiti cha enzi kikubwa cheupe imelenga wasioamini walio wa pepo Shetani. Bwana atakapokuja, waumini watachukuliwa kwenda mbinguni, na kisha Atatuma maafa kuwaangamiza wasioamini. Hiyo ndiyo hukumu mbele ya kiti cha enzi kikubwa cheupe. Unashuhudia mwanzo wa hukumu ya Mungu katika siku za mwisho, lakini hatujaona Mungu akileta maafa kuwaangamiza wasioamini. Basi inawezaje kuwa hukumu ya kiti cha enzi kikubwa cheupe?
 • 4 Watu wengi katika ulimwengu wa kidini wanaamini kuwa Bwana Yesu kusema “Imekwisha” (Yohana 19:30) msalabani ni ushahidi kwamba kazi ya Mungu ya wokovu tayari imekamilika kabisa. Na bado unashuhudia kwamba Bwana amerejea katika mwili kuonyesha ukweli na kufanya kazi ya hukumu akianza na nyumba ya Mungu ili kuwaokoa wanadamu kabisa. Kwa hiyo ni kwa njia gani hasa mtu anafaa kuelewa kazi ya Mungu ya kuwaokoa wanadamu? Hatuko dhahiri juu ya kipengele hiki cha ukweli, kwa hiyo tafadhali shiriki hili kwa ajili yetu.
 • 5 Bibilia inasema: “Kwani mwanadamu husadiki moyoni ili kupata haki; na kwa mdomo hukubali hadi apate wokovu” (Warumi 10:10). Tunaamini kwamba Bwana Yesu alitusamehe dhambi zetu na kutufanya kuwa wenye haki kupitia imani. Aidha, tunaamini kwamba mtu akiokolewa mara moja, basi ameokolewa milele, na Bwana atakaporudi tutanyakuliwa na tutaingia katika katika ufalme wa mbinguni. Hivyo kwa nini unashuhudia kuwa tunapaswa kukubali kazi ya Mungu ya hukumu katika siku za mwisho kabla ya kuweza kuokolewa na kuletwa katika ufalme wa mbinguni?
 • 6 Sisi hufuata mfano wa Paulo na hufanya kazi kwa bidii kwa ajili ya Bwana, tukieneza injili na kumshuhudia Bwana, na tukiyalisha makanisa ya Bwana, kama vile Paulo tu: “Nimepigana vita vizuri, nimeutimiza mwendo wangu, nimeihifadhi imani” (2 Timotheo 4:7). Si huku ni kufuata mapenzi ya Mungu? Kutenda kwa njia hii kunamaanisha kuwa tunastahili kunyakuliwa na kuingia katika ufalme wa mbinguni, hivyo kwa nini tunapaswa kuikubali kazi ya Mungu ya hukumu na utakaso katika siku za mwisho kabla tuweze kuletwa katika ufalme wa mbinguni?
 • 7 Unasema kwamba watu wanaomwamini Mungu wanapaswa kuikubali kazi ya hukumu ya Mungu katika siku za mwisho, na ni hapo tu ndipo wanapoweza kutakasiwa tabia yao potovu na wao wenyewe kuokolewa na Mungu. Lakini sisi, kwa mujibu wa mahitaji ya Bwana, hutenda unyenyekevu na uvumilivu, kuwapenda adui zetu, kuibeba misalaba yetu, kuviacha vitu vya dunia, na sisi hufanya kazi na kuhubiri kwa ajili ya Bwana na kadhalika. Hivyo si haya yote ni mabadiliko yetu? Daima tumetafuta kwa njia hii, kwa hiyo hatuwezi kupata utakaso, unyakuo na kuingia katika ufalme wa mbinguni?
 • 8 Unashuhudia kwamba Bwana amerudi katika mwili ili kuonyesha ukweli na kufanya kazi ya hukumu na utakaso wa mwanadamu katika siku za mwisho, lakini wachungaji wa kidini na wazee wa kanisa wanaamini kwamba Bwana atarudi na mawingu, na kwamba wale wote wanaoamini katika Bwana watabadilika umbo mara moja na watanyakuliwa katika mawingu kukutana na Bwana, kama tu alivyosema Paulo: “Kwani maongezi yetu yako mbinguni; ambako pia tunamtazamia Mwokozi, Bwana Yesu Kristo: Atakayeubadilisha mwili wetu wa uovu, ili uweze kuwa kwa kadri ya mwili wake wenye utukufu, kulingana na kufanyika ambapo ataweza kuvitiisha vitu vyote kwake” (Wafilipi 3:20-21). Bwana ni mwenye uweza na hakuna kitu ambacho Hawezi kufanya. Mungu atatubadilisha na kututakasa, akifanikisha hili kwa neno moja tu. Hivyo kwa nini bado Anahitaji kupata mwili ili kuonyesha ukweli na kufanya hatua ya kazi ya hukumu na utakaso wa mwanadamu?
 • 9 Unashuhudia kuwa katika siku za mwisho Mungu huonyesha ukweli na kufanya kazi ya kumhukumu na kumtakasa mwanadamu, hivyo ni kwa jinsi gani hasa Mungu humhukumu, kumtakasa na kumwokoa mwanadamu?
 • 10 Unashuhudia kuwa katika siku za mwisho Mungu hufanya kazi Yake ya hukumu ili kumtakasa na kumwokoa mwanadamu kabisa, lakini baada ya kusoma maneno yaliyoonyeshwa na Mwenyezi Mungu, ninaona kwamba baadhi yayo humhukumu na kumlaani mwanadamu. Kama Mungu humhukumu na kumlaani mwanadamu, si basi mwanadamu atapatwa na adhabu? Na unawezaje kusema kwamba aina hii ya hukumu huwatakasa na kuwaokoa wanadamu?
 • 11 Dhambi zetu zilisamehewa baada ya kumwamini Bwana, lakini kwa nini bado sisi hutenda dhambi mara kwa mara? Tunawezaje hatimaye kuepuka utumwa wa dhambi?
 • 12 Watu wengine husema: Bwana Yesu aliposema msalabani, “Imekwisha,” si hiyo ilionyesha kuwa kazi ya wokovu ya Mungu ilikuwa imekamilika? Kwa hiyo ni kwa nini Mungu anahitaji kufanya kazi ya hukumu akianza na nyumba ya Mungu atakaporudi katika siku za mwisho?
 • 13 Je, Bwana Yesu atafanya kazi gani hasa atakaporudi katika siku za mwisho?
 • 14 Bwana Yesu aliposulubishwa msalabani, Alibeba na kusamehe dhambi zetu. Kwa hiyo, tayari tumewekwa kando kama watakatifu na hatuna dhambi tena, na tunaweza kuingia katika ufalme wa mbinguni bila kuhitaji kukubali kazi ya Mungu ya hukumu na utakaso katika siku za mwisho. Ni sahihi kwetu kuamini hili?
 • 15 Bwana Yesu ametuahidi kwamba, “kila mtu amwaminiye asiangamie, bali awe na uzima wa milele.” Je, Mungu atatimizaje kile ambacho amesema?

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?
Wasiliana nasi kupitia WhatsApp