220 Ningechukia Kurudi Katika Njia Zangu za Zamani na Kumwumiza Mungu Tena

Siku ya Mungu inakaribia siku kwa siku.

Nimepata ukweli kiasi gani kweli kupitia hukumu Yake?

Lazima nijitafakari kwa dhati,

nisije nikarudi katika njia zangu za zamani na Mungu ahuzunike mara nyingine.

Maneno ya Mungu yananenwa kwa uwazi kabisa.

Bila kumjua Mungu, nawezaje kumpenda kwa dhati?

Bila kumcha Mungu moyoni mwangu, nawezaje kumtii?

Wajinga na vipofu daima wana mawazo kumhusu.

Wale wanaopungukiwa katika ubora wa tabia huwa wanauelewa vibaya moyo wa Mungu.

Hukumu na kuadibu ni upendo na baraka za Mungu.

Siwezi kuzisikitisha nia za Mungu zenye fadhila tena.

Haijalishi ni ngumu kiasi gani, nitatafuta kumpenda Mungu.

Mungu amefanya kazi kwa moyo Wake wote kuonyesha maneno yote kwa ajili ya wanadamu.

Upendo wa kweli kwa Mungu unamaanisha kuyafikiria mapenzi Yake.

Mtu asiyesoma maneno ya Mungu ni mnyama tu asiyependa ukweli.

Hastahili imani na kubaki katika nyumba ya Mungu.

Tabia ya Mungu yenye haki imeonyeshwa kikamilifu kwa mwanadamu.

Wale wampendao Mungu kweli wanamshuhudia.

Wale wasio na ubinadamu wamefunuliwa na kuondolewa na Mungu.

Kazi kubwa ya Mungu imekamilishwa, Amepata utukufu.

Wale wasiotubu watazama katika maafa.

Siku ya Mungu inakaribia siku kwa siku.

Nimepata ukweli kiasi gani kweli kupitia hukumu Yake?

Lazima nijionyeshe kwa dhati,

nisije nikarudi katika njia zangu za zamani na Mungu ahuzike mara nyingine.

Iliyotangulia: 219 Eh Mungu! Sistahili Upendo Wako Kweli

Inayofuata: 221 Kuwa Mtu Mpya

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

418 Umuhumi wa Maombi

Sala ni mojawapo ya njia ambazo mwanadamu hutumia kushirikiana na Mungu, ni njia ambayo mwanadamu hutumia kumwita Mungu, na ni mchakato...

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp