217 Ninajuta Sana

1

Nasikia kwamba Mungu atarejea Sayuni na sijui jinsi ya kuhisi.

Nimemwamini Mungu kwa miaka mingi lakini sijawahi kutenda wajibu wangu vizuri, nahisi majuto makuu sana moyoni mwangu.

Nimefurahia upendo mwingi wa Mungu, lakini sijawahi kurudisha chochote.

Mungu amenipa fursa nyingi sana kutenda, lakini nilizichukulia zote kwa njia ya hobelahobela,

na badala yake kwa wazo moja nikatafuta hadhi, umaarufu na utajiri na kufanya mipango ya hatima yangu ya baadaye.

Nikiwa nimejawa na tamaa kubwa, kweli sikujua aibu yoyote na nimepoteza muda mwingi mzuri.

Na sasa Mungu yuko karibu kutuacha, najuta sana.

2

Ingawa nimesoma maneno mengi ya Mungu, nimejitosheleza tu na ufahamu wa mafundisho.

Nikitafakari juu ya matendo yangu, naona kwamba sina uhalisi wa ukweli kabisa.

Nikitazama asili na kiini changu, naona kwamba sipendi ukweli.

Ninawezaje kupata yale ambayo yamepita? Nahofia Mungu ameniacha.

Najuta sana—mbona sikugundua kwamba tabia ya Mungu ni yenye haki?

Sijui kama toba yangu imechelewa sana, najuta sana.

Sijui kama Mungu atanipa fursa nyingine, najuta sana.

Iliyotangulia: 216 Ee Mungu, Siwezi Kukuacha

Inayofuata: 218 Wimbo Wa Kurudi kwa Mwana Mpotevu

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp