Programu ya Kanisa la Mwenyezi Mungu

Sikiliza sauti ya Mungu na ukaribishe kurudi kwa Bwana Yesu!

Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.

Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

(Ma)tokeo ya Kutafuta 0

Hakuna matokeo yaliyopatikana

32. Niko Tayari Kutekeleza Wajibu Wangu kwa Uaminifu

Mpendwa Mwenyezi Mungu, ni Wewe ndiye Unayenipenda,

uliniinua kutoka kwa rundo la kinyesi hadi kwa mazoezi ya ufalme.

Maneno Yako yamenitakasa mimi, yakanifanya nianze kuishi maisha ya furaha.

Moyoni mwangu nahisi, kwa kweli, ni upendo Wako mkuu.

Aa … aa … aa … aa … Mpendwa Mwenyezi Mungu!

Maneno Yako yote ni ukweli. Unastahili upendo wa binadamu.

Ee Mungu! Ukipuuza uasi wangu wa zamani,

Unanijali na kufanya kazi ili kuniokoa.

Unaniongoza katika njia ya kweli, Ukitazama kila wakati katika upande wangu,

natarajia tu nitakua na kuwa mtu mpya.

Aa … aa … aa … aa … Mpendwa Mwenyezi Mungu!

Nitafuatilia kukupenda Wewe, mwaminifu katika wajibu ili kukufurahisha Wewe.

Ee Mwenyezi Mungu, maneno Yako yamenitakasa.

Neema ya wokovu Wako sitasahau kamwe,

Nitakupenda Wewe maisha yangu yote, nikiuridhisha moyo Wako.

Uliacha mengi sana ili kuniokoa, na sitakukosea Wewe kamwe.

Aa … aa … aa … aa … Mpendwa Mwenyezi Mungu!

Nitakupenda Wewe maisha yangu yote, mwaminifu katika wajibu, katika wajibu.

Aa … aa … aa … aa … Mpendwa Mwenyezi Mungu!

Nitakupenda Wewe maisha yangu yote, mwaminifu katika wajibu, katika wajibu.

Iliyotangulia:Nitalipa Upendo Wa Mungu

Inayofuata:Mfuate Mungu Katika Njia Yenye Mabonde

Maudhui Yanayohusiana

 • Umuhumi wa Maombi

  I Maombi ni njia moja ya mwanadamu kishirikiana na Mungu, kuita Roho Wake na kuguswa na Mungu. Kadiri unavyoomba zaidi, ndivyo utakavyoguswa zaidi, ku…

 • Ni kwa Njia ya Majaribio ya Kuumiza tu Ndipo Unaweza Kuyajua Uzuri wa Mungu

  I Kufuatilia kuridhika kwa Mungu ni kutenda maneno ya Mungu kwa upendo kwa Mungu. Bila kujali wakati, kama wengine hawana nguvu, ndani, moyo wako bado…

 • Njia … (7)

  Sote tunaweza kuona katika uzoefu wetu wa utendaji kwamba kuna nyakati nyingi ambazo Mungu binafsi ametufungulia njia ili tuwe tunakanyaga njia iliyo…

 • Kutanafusi kwa Mwenye Uweza

  Kunayo siri kubwa moyoni mwako, ambayo hujawahi kuifahamu kamwe, kwa sababu umekuwa ukiishi katika ulimwengu bila mwanga. Moyo wako na roho yako vime…