126 Wale Wampendao Mungu Wanaishi Katika Nuru

1

Hukumu ya Mungu humtakasa mwanadamu,

hutuokoa kutoka upotovu.

Tunaishi katika mwanga, tunafurahia maneno ya Mungu,

tunafurahi tunapomsifu.

Hivyo cheza kwa miguu yako!

Imba kwa sauti yako!

Mfuate Mungu na kutembea mbele!

Na usitazame nyuma!

Lazima tuwe waaminifu, lazima tujitolee,

lazima tujali mapenzi Yake ili kumpenda Mungu kweli.

Ufalme wa Mungu ni wa wale wanaompenda Mungu.

Ndiyo, wale wampendao Mungu wanaishi katika mwanga.

Ndiyo, wale wampendao Mungu wanaishi katika mwanga.

2

Kumpenda Mungu, tuna furaha.

Kumpenda Yeye, tunafurahi.

Tutabarikiwa tunapoujali moyo wa Mungu

na kuyaridhisha mapenzi Yake.

Tunapotenda ukweli,

tunawekwa huru rohoni mwetu.

Mioyo yetu inampenda Mungu hata zaidi.

Lazima tuwe waaminifu, lazima tujitolee,

lazima tujali mapenzi Yake ili kumpenda Mungu kweli.

Ufalme wa Mungu ni wa wale wanaompenda Mungu.

Ndiyo, wale wampendao Mungu wanaishi katika mwanga.

Ndiyo, wale wampendao Mungu wanaishi katika mwanga.

Kumpenda Mungu, tuna furaha.

kumpenda Mungu, tunafurahi.

Njia ya uzima inapinda na kugeuka,

lakini hatutarudi nyuma.

Tunatembelea njia ngumu,

tukifanya kazi kwa uaminifu hadi mwisho.

Tunampenda Mungu na Anatubariki.

Tunaishi katika mwanga milele!

Lazima tuwe waaminifu, lazima tujitolee,

lazima tujali mapenzi Yake ili kumpenda Mungu kweli.

Ufalme wa Mungu ni wa wale wanaompenda Mungu.

Ndiyo, wale wampendao Mungu wanaishi katika mwanga.

Ndiyo, wale wampendao Mungu wanaishi katika mwanga.

Ndiyo, wale wampendao Mungu wanaishi katika mwanga, wanaishi katika mwanga.

Iliyotangulia: 125 Nimeuona Upendo wa Mungu

Inayofuata: 127 Nataka Kuwa Mwandani wa Mungu

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

418 Umuhumi wa Maombi

Sala ni mojawapo ya njia ambazo mwanadamu hutumia kushirikiana na Mungu, ni njia ambayo mwanadamu hutumia kumwita Mungu, na ni mchakato...

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp